Recent content by Adam97

  1. Adam97

    Hapa ndo Prince Dube alianza pata gundu. Kilichowamaliza nguvu wachezaji wengi wa Yanga

    Tatizo tumechelewa kuagiza sindano toka china mpaka zimekata😂😂😂😂😂
  2. Adam97

    Rais Samia awasili China kushiriki mkutano wa FOCAC

    Umeenda kufanyanini uko wewe?
  3. Adam97

    Kuna mambo ukifanya watu hawafikirii mara mbili kujichukulia sheria mkononi

    Hoja ndefu sana inazidi had gazeti la Nipashe. 🤔🤔
  4. Adam97

    Kwa kuwa Tundu Lisu ameshatia Nia ya kugombea uRais basi na tumfanyie SWOT analysis

    Tutam-support sana katika kampeni mpaka tutapigwa mabom lakini Kura yangu hapati na akishinda uraisi nitaandamana
  5. Adam97

    Samaki sangara wenye ladha wameadimika

    Ni wazo zuri kwa mataifa yaliyoendelea sio Tz. Ziwa Victoria limesaidia wengi mpaka kupata ajira serikalini hadi leo kuna watoto wanapata mahitaji ya Nyumban na Shuleni kutokana na ziwa victoria. Kuna aja ya kutafuta njia sahihi ili wavuvi wadogo wasiumie
  6. Adam97

    Wanaume ni kwamba hamtakagi kupendwa ama ni nini?

    Kagueni Engine kama iko sawa na kama kuna shida jitahidi kutatua ndo tutajua yaliyomo yamo
  7. Adam97

    Nimeachwa na mtu ninayempenda sana, nimeshindwa kukubaliana na hali

    Mshukru Mungu kwa kukuonesha mapema uyo sio mtu sahh kwako. Kwakuwa ajaondoka na kitu ata kimoja ulichozaliwa nacho na unapumua endelea kupambana na maisha atakuja mtu sahihi mpaka utajiuliza alikua wapi?
  8. Adam97

    Rais Samia: Nazunguka Ulimwengu Mzima Kutafuta Fedha Kuwawezesha wanawake Wa Afrika Wapate Nishati Bora ya Kupikia

    Kila akidhurura, akirudi bandari na maziwa yake vimeuzwa. Kipindi iki ni Mlima Kilimanjaro na Mbuga za wanyama
  9. Adam97

    Hali halisi ya Maisha ilivyo mtaani

    Kukosekana kwa mzunguko wa hela kuna mambo 2 tu 1. Mama anatunza nguvu ya uchaguzi 2025 au 2. Mama ameanza kutumza Penshen yake
  10. Adam97

    PreGE2025 Kwa wahandisi kumnunulia rais Samia helicopter na 100,000,000/= je ni kwasababu ya kutowabana wahandisi kwenye miradi ya Umma?

    Nchi hii kila mwananchi ale kwa uwezo wa akili yake. Nchi haina mapungufu katika sekta ya elimu,afya,miundo mbinu, n.k ndio maana rais anagawa pikipiki nchi nzma
  11. Adam97

    Kilimanjaro: Godlisten Malissa afikishwa Mahakamani

    Sina imani na hao Mawakili kama wataweza kumtetea angemtafta wakili msomi B.Morison
  12. Adam97

    Hivi Mkuu wa Wilaya Ubungo atathibitishaje ukahaba wa hawa watu?

    We mwenyewe kahaba ndo maana unatetea chama. Ila awaache tu maana Dunia iko ukingoni kuzuia ukahaba ni kazi ngumu sana kama virus(wazungu) vinaingia nchini utaponea wapi? kwao kule ishakua kawaida tu
  13. Adam97

    Hivi Mkuu wa Wilaya Ubungo atathibitishaje ukahaba wa hawa watu?

    Mnaompinga Dc mnaona kakosea kwan wote walokamatwa sio madada poa? Hii Nchi tulisha kosea kuilekebiasha zaman tunakoelekea mashoga, madadapoa litakua jambo la kawaida kama kwa wazungu
Back
Top Bottom