Recent content by ADAM JUMA IDDY

  1. A

    Matokeo mapya kidato cha nne 2012 kutangazwa kesho jumatatu

    pataaamu hapooooooo......! iwe kweli bas watu tufuraahiii jaman....!
  2. A

    Taarifa kwa Umma toka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi

    aaah! washazingua kuanzia katibu pamoja wazir wake hamna lolote kwa nn mwanzo kabla ya kutangaza matokeo wasiyabadilishe hukohuko mpaka kimenuka ndo wanajifanya wasamariawema.........wizi mtupu!
  3. A

    Matokeo hayarudiwi te tena ku-upgrade

    mcjali jamaani matokeo yako mbion kutoka....
  4. A

    Taarifa kwa Umma toka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi

    haya ni majanga tu. Kwani izara wao hawakujua kama necta wamebadilisha grades mpaka inafika siku ya kuyangaza matokeo na wanayatoa bila wizara kujua na kwann wabadilishe bila kutoa taarifa kwa wadau wa elimu..? Mpaka inafika kipndi sasa wanadhalilishana namna hii, sasa hatujui kama...
  5. A

    Ponda afungwa mwaka mmoja Jela wengine waachiwa huru

    kwa kweli Ponda ni mwana haki wa kikweli hata kama angefungwa miaka mia lakin bado angekuwa ni mwanaharakati wa waislam ndo maana mahakama imaeamua kuchukua kifungo kama hiki cha style yake kwa heshima ya mzee Ponda.......na kuifungulia mashataka serikali...
  6. A

    Ponda afungwa mwaka mmoja Jela wengine waachiwa huru

    kwa kweli Ponda ni mwana haki wa kikweli hata kama angefungwa miaka mia lakin bado angekuwa ni mwanaharakati wa waislam ndo maana mahakama imaeamua kuchukua kifungo kama hiki cha style yake kwa heshima ya mzee Ponda.......
  7. A

    Dada zangu hii sio FAIR kabisa...

    daaah! pole but yaani ww unaonekana kama sum yako ni ndogo sana yani mikwanja yote hyo umeitoa kwa wakati mmoja aaah! ukijarib tena mwingine cutafilisika take care uskurupuke.......! swagga tu
  8. A

    Wasichana wa vyuo hujiuza ili kupata namna ya Kuishi vyuoni.

    daah! yani hapo umenena kabisaa vyuoni siku hz ni midundiko tu kwenda mbele yaani inaonekana styl ya kujiuza ndo sifa za wadada wakichuochuo na sio eti kukosa karo au mkopo kwan akina kaka nao wanasomaje bila mikopo halaf cha ajabu kama ni ukosef wa ada mbona wanafanya hvyo wakati wote wa kuwepo...
  9. A

    Taasisi mbalimbali kupinga kufutwa kwa matokeo kidato cha nne -2012

    Yaa Kitendo cha kufutwa kwa matokeo taasisi zinazopinga ni zinapinga bure tu kwa maneno kwan tayari wameshafaham sababu tatu za msingi za mwaka huu kufeli hivyo wawaache wahusika watumie busara zao kubadilisha matoko kwan tayar wmeshagundua mapunguf yao tofaut na mengine.......taasisi zinapinga...
  10. A

    Serikali yaanza kuchakachua matokeo ya mtihani wa kidato cha 4 kuepuka aibu

    wanafunzi waliofaulu ni wengi unajua zero zilizoonekana kama wangetumia grde za iaka yote bas ufaulu ungekuwa ni mzur tu sasa zimeonekana nyinhi kushinda za mwaka jana wakat grade ni tofauti wanazingua tu wenyewe wizara imeboronga tu ikubali.....
Back
Top Bottom