Recent content by Adah

  1. A

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo(HESLB) waachia majina ya wadaiwa sugu kuanzia mwaka 1994 hadi 2014

    Eti bana kwanza Hiyo haipo kwenye mkataba..wapige faini yao watulie, hatukusaini kulipia gharama za kesi ..[emoji35]
  2. A

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo(HESLB) waachia majina ya wadaiwa sugu kuanzia mwaka 1994 hadi 2014

    heslb...wangewaongeza nguvu ili wadaiwa sugu watafutwe, wengi sana wana ajira lakini bodi haifatilii...Wajue kua waTanzania hawana tabia ya kuogopa mkopo..unaweza mfata hata mpka chumbani lakini kama hana hana tu, kujisalimisha ni ngumu.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wanaume kwanini kila utundu wa chumbani hamtaki?

    Mwanaume hata umfanyie nini kama mhuni mhuni tu, hesabia maumivu...utakatika saanaa...mautundu meengiii lakini mwenzio hata hayupooo...pole ila jipende mwenyewe ucjisahau sana ukaanza kujiweka rafu...yni jikubali mwenyewe ipo cku atastuka tuu..
Back
Top Bottom