Hata ingeshuka kwa Kikwenu pia bado ungeuliza why imeshuka Kikwenu,Nikuulize kwani Biblia ilishuka na lugha nyingi nyingi au lugha Moja Tu?halafu wengine wakaigeuza kwa lugha zao na kuzibadilisha kwa maaganano tofauti tofauti HUKU wakipunguza au kuongeza baadhi ya vitu from the original verses
Ukishapiga kiberiti vyote hivyo,wewe mwenyewe na vizazi vyako na shangazi zako mtakuja kuishije?kama Una hasira kwann usianze kuchoma Mali zako wewe mwenyewe Kwanza na nyumba yenu ya urithi ili ufahamike kama umekasirika?Kwann usichoke mali za ukoo wako?Nasubiri unipe matusi yangu manake ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.