Recent content by Ad edeem

  1. A

    Je, Upinzani wa Tanzania mawazo yetu yameishia kwa CCM kuwa ndiye mhujumu upinzani kwa Tanzania?

    Nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana, kwanini hama hama ya wanasiasa viongozi ndani ya vyama vya upinzani haifikii ukomo? Viongozi wengi wamehama kutoka Chadema kwenda CCM na wamekuwa wakizungumza ni kwanini wanafanya hivyo na mahali pengine wameenda mbali zaidi kwa kutoa ushauri kwa viongozi...
  2. A

    Mbunge wa Ubungo, Said Kubenea (CHADEMA) kufanya mkutano na waandishi wa habari Aprili 2, 2020

    Ahahahahaaaaaa imagination zinalazimishwa ziwe uhalisia, kwann tusijikite kuutafuta ukweli ndiyo tuuweke hadharani......... Itatusaidia maana vinginevyo tutakuwa sawa na uncivilized people ambao zamani walikuwa wakiumwa malaria wanasema jirani kamloga bila kushugulika na mbu anayeeneza malaria...
  3. A

    Anachokifanya Komu ni 'kichekesho cha kisiasa'

    Mbona CDM mnatapatapa???? Ni maamuzi yake kisheria....... Nyie mmeshindwa kuwa kitu kimoja ndani, acheni nyumba iendelee kubomoka maana mmeshindwa kuziba UFA, tulieni hivyo hivyooooo....,.
  4. A

    Madiwani 11 wa CHADEMA wakiongozwa na Meya wa Jiji la Mbeya wahamia CCM

    Watu wanaondoka kwenye chama chenye DEMOCRASIA, kwanini?? Lakini pia kina mlengo Wa MAENDELEO, why???? Something wrong is there in
  5. A

    Is USA pushing Tanzania to adopt her title IX of education amendment(1972)??

    Makonda ana vita na mashoga ndo marekani hataki, na ukitaka kukosana na mmarekani basi wabugudhi mashoga
  6. A

    Askofu Gamanywa: Makonda yuko sahihi Ushoga umekatazwa kwenye Biblia, wananchi acheni kushabikia dhambi

    Kuwanyima watu haki ya kuishi ni hao mashoga ndiyo wanaopiganiwa tatizo mnaongea hisia zenu na siyo uhalisia
  7. A

    Kucheleweshwa kwa Mkopo World Bank: Tumkemee Zitto Kabwe kwa pamoja

    Umefaidika nn?? Na inabadilisha nini? TZ ni nchi huru yenye kujiamulia mambo yake, That is freedom, and the basis of sovereign state.
  8. A

    Rais Magufuli aanika sababu ya 'kutumbua' Mambo ya Ndani. Waziri Simbachawene apewa 'kazi maalum' ya kuanza nayo

    Unafikiri hadhi yake ni kama enzi za Kikwete au siyo??? Think twice then judge yo thread
  9. A

    Rais Magufuli aanika sababu ya 'kutumbua' Mambo ya Ndani. Waziri Simbachawene apewa 'kazi maalum' ya kuanza nayo

    Kujua siyo tatizo. je, amejua baada ya event au la!, kwani unauhakika gani juu ya descriptions za kwenda zilifikaje kwake???? Na kwa kiongozi thabiti baada ya kuona viashiria vya tukio baya I'm sure alianza investigation kupitia vyombo vyake, so kuwaaminisha watu kuwa siyo kweli anachoeleza na...
  10. A

    Kumbe Lugola alichosaini ni Memorandum of Understanding (MOU) na sio Contract! Magufuli hajui kuwa MOU haina nguvu ya kisheria?

    Usikariri hiyo MOU inakipengele kinacho ruhusu utekelezaji wa maazimio hata kama serikali inavunja hayo makubaliano, alafu pia hata kama haina madhara kwa serikali huoni ni makosa yalifanyika kwenda kukopa nje ya nchi kinyume cha utaratibu????? Hilo la kujiamulia kuingia kwenye makubaliano ya...
  11. A

    Rais Mugufuli atakumbukwa na vizazi vingi wa Watanzania

    Sawa imekolea Sawa imeingia, tulia hivyo hivyo
Back
Top Bottom