Mbunge wa Ubungo, Said Kubenea (CHADEMA) kufanya mkutano na waandishi wa habari Aprili 2, 2020

hahahaha hahahha, nimzepata za chini chini, kubea leo anang'oka Rasmi chadema na kujiunga na Nccr Mageuzi na ameisha aidiwa ukatibu mkuu .

Nccr inaamini ikimpata kibenea sjui kubenea itakuwa imepata mtu wa kumchachafya John Mnyika katibu mkuu chadema.
kwa sasa vyama vya upinzani havina tena ajenda ya kuungana kuing'oa ccm bali vinaparulana vyenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wapinzani wana pambana wenyewe au na ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajafanya tu press yake,na kama anahama basi tutegemee lawama kama vile.
"Nilishinikizwa kujiengua nafasi ya Makamu Mwenyekiti bara"

Hayo magazeti yake bila shaka yatakuwa huru sasa kutuambia vitu ambavyo alikuwa hawezi kuvisema akiwa ndani ya chama.
 
Na waandishi wetu walivyo mazuzu watajaa hapo... Badala ya kwenda Mloganzila na Temeke kutupa updates za Corona quaranteen wanahangaika na upuuzi
 
CCM imewaambia kwamba waende kwanza NCCR kama kituo cha mda lakini lengo ni kwenda ccm au watafadhiliwa hukohuko nccr
Ahahahahaaaaaa imagination zinalazimishwa ziwe uhalisia, kwann tusijikite kuutafuta ukweli ndiyo tuuweke hadharani......... Itatusaidia maana vinginevyo tutakuwa sawa na uncivilized people ambao zamani walikuwa wakiumwa malaria wanasema jirani kamloga bila kushugulika na mbu anayeeneza malaria. Chadema na upinzani kwa ujumla swala la watu kuhama chama ni tafsiri kuwa Kuna vitu haviko sawa ndani yenu na Mara nyingi wanaoondoka wanaeleza mengi yaliyokuwa chini ya kapeti ambayo kama wahusika tungeyafanyia kazi bila shaka tungejikwamua hapo kuliko kila leo kumuona CCM ndiye mbaya wetu namba moja, vinginevyo kama imani hiyo itaendelea CDM na upinzani kwa ujumla hautakaa kuwa imara hata siku moja.
 
Back
Top Bottom