Recent content by acute angle

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa hapa mtaani anashinda ndani asubuhi mpaka usiku ila anakula na kuvaa vizuri kazi yake haijulikani

    Nimeishi maisha ayo for 6years mwaka huu tu ndio nimeingia kwenye system nyingine😃😃 kutoka ni ucku kwenda kula mtaani wananionaona Tu na wanatamani kunijua lakini wapi
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kesho naingia kwenye oral interview lakini hili limenitokea

    Ni sahihi panga vyeti vyako transcript hawazingatii Sana mara hivyo vyeti wanataka kuhakiki Tu tena wale watu wa utumishi au unaweza kuweka iyo transcript mwishoni mwishoni yaan panga ivi Anza na o'level,A'level then transcript maliza na cha chuo apo Sana nenda kwenye usahili tuliza akili mkuu...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

    Wapi wameandika wanaenda kudhalilisha ukristo apo Muhammad Vs jesus Kwa upande wa uislam wote hawa ni mitume na katika moja ya nguzo ya Imani kwenye uislam ni kuamini mitume wote kwahiyo usitegemee atatukanwa yesu/ ISSA wao watawachambua hao mitume kulingana na kitabu chao(quaran tukufu) basi
  4. A

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mbwa wakitaka kufa huanza kukosa uwezo wa kunusa

    Sasa hapa mkuu umekua too personal Sana kumu attack na huu ni mtazamo wako lakini ukweli unaweza ukawa sio huo unavyofikilia siasa ina mambo mengi Sana ndani yake mimi na wewe hatujui kila mtu ataunga mkono mtu wake kulingana na anachonufaika nacho kutoka kwake ndio maana kuna usemi husema...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mbwa wakitaka kufa huanza kukosa uwezo wa kunusa

    Udini ni kushambulia mamlaka ndio maana ya udini??
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ikitokea leo Simba ikashinda au ikatoa sare naenda kuwin hii milioni 46 siku ya leo maombi kwa Simba

    Aya sasa mnyama kashinda 46mil. Ushalamba
  7. A

    JamiiForums Tanzania Gharama za ujenzi (3 bedroom house)

    Sio kweli zaidi ya iyo
Back
Top Bottom