Recent content by ACTIVIST13

  1. ACTIVIST13

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Nakuunga mkono mkuu
  2. ACTIVIST13

    Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

    Vp kwa ambao tushafanya hii kitu tutumie njia gani kuiepuka hii mikosi??
  3. ACTIVIST13

    Breakfast ya Bushmamy na Bushdaddy

    MTAACHANA TU
  4. ACTIVIST13

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    WEKA HATA NYUMBA UKIWEZA JITU LAFWA HAPA
  5. ACTIVIST13

    Sintosahau nilipomnyooshea mwalimu kidole cha kati

    Maisha yamenipiga lkn bado napambana
  6. ACTIVIST13

    Sintosahau nilipomnyooshea mwalimu kidole cha kati

    Inategemea ntu na ntu mkuu
  7. ACTIVIST13

    Sintosahau nilipomnyooshea mwalimu kidole cha kati

    Hayo majina ni yanatumika na wengi.
  8. ACTIVIST13

    Sintosahau nilipomnyooshea mwalimu kidole cha kati

    Kwanza kabisa nianze kwa kusema "Fuata taratibu zote za kujilinda na korona " Niende moja kwa moja kwenye mada yangu, aise ilikua mnamo mwaka 2005 shule la msingi X mkoani Kilimanjaro. Nakumbuka ilikua ni Juma 5,siku ambayo kulikuwa na ukaguzi wa usafi, kulikuwa na utaratibu ya kuwatoa watu...
  9. ACTIVIST13

    Eti uyu mdada ni Mtanzania au?

    Unadata na uzuri wa dukani
  10. ACTIVIST13

    Njooni tubashiri mechi wakuu

    Wasalaam Kichwa cha uzi kinajieleza wakuu twende kwenye mtiririko husika 1.aston villa vs brighton 2. Alaves vs celta vigo 3.espanyol vs villareal 4.udinese vs torino 5.stoke city vs fulham 6.hoffenheim vs schalkle 04 Ubashiri wako hata wa mechi moja itapendeza pia kama hauwez zote
  11. ACTIVIST13

    MSAADA KUHUSU BACHELOR OF SCIENCE IN PHYSICS

    Habari? Naomba anaeifahamu kozi hii vizuri anieleweshe juu ya soko lake, usomaji wake na pia je namna gani inaweza kuwa msaada kama mtu alieisomea akikosa ajira ni hayo tu kwa uchache
Back
Top Bottom