Recent content by Activist100

  1. A

    Hellen Kijo Bisimba ashambuliwa kutokana na kufumbia macho matukio ya mauaji

    si kauli ya pinda tu alipiga sana kelele dhidi ya udhalimu aliofanyiwa dr ulimboka na serikali huyu mama alipiga sana kelele aliingia barabarani pamoja na ananilea nkiya kupinga ukatili huu dhidi ya dr ulimboka na madactari kwa ujumla
  2. A

    Vijana wa CHADEMA wamepoteza matumaini na chama chao na Viongozi wao

    nakuhurumia sana juliana shonza ukawa wametulia wanawachungulia kwa mbali sana wanawacheka mnavyoangaika wanajua hakuna wakushindana na dr slaa pangeni safu yenu ya mafisadi ukawa itaweka jembe halafu utaona coverage dr sasa yuko kimya sana hana mapepe anaandaa namna yakuweka makombora yake...
  3. A

    Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    hatuna haja na uamuzi wa mahakama kuna uamuzi wa tume halali ya kisheria na moja ya tume ya muhimili mkuu wa serikali ambao ni bunge ilimthibitisha hili jitu ni jizi sasa mahakama ya nini kwa hilo?
  4. A

    Swali kwa Pasco wa JamiiForums na wapambe wenzake kuhusu mtu wao anayetaka kwenda Magogoni

    leo nyerere sio malaika lakin kupitisha machafu yenu ya katiba mlimpa sifa ya umalaika kuaminisha ujinga wenu wapumbavu ninyi
  5. A

    CCM kiboko: Yasema ushindi wa kishindo uchaguzi wa Serikali za Mitaa desemba 2014

    unafikili watasemaje kama hata arusha wanasema watashinda kwa kishindo
  6. A

    Mtera: Lameck John Lubote aanika unafiki wa CHADEMA

    kumbe source ni tbc 1 hakuna habari hapo
  7. A

    Dr Slaa kufikishwa Mahakamani!

    mnasema kwamba mnamshtaki ili kuweka umma sawa kwamba si ukweli yale aliyoyasema lakini hamuendi huko mahakamani
  8. A

    Slaa asema uongo tena, atangaza kuibiwa kura 2015 na kushutumu ununuzi wa Helkopta ya Rais

    thibitisha hayo aliyoyasema dr slaa ni uongo kama alivyotoa details dr sio kusema tu ni uongo
  9. A

    Dk. Slaa amlipua Rais Kikwete kwa kujigeuza Ofisa Manunuzi

    mimi kwangu dk ndie tumaini langu nakuamini nakuhitaji
  10. A

    CHADEMA kidedea tena Arusha

    peoplessssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss
  11. A

    Mzee Warioba aanzisha kampeni na siasa chafu

    unajua maana ya uchochezi au umesoma vizuri sheria ya mabadiliko ya katiba kipengele cha kura ya maoni haikatazi mtu kupinga kwani kitakacho fanyka is same kama kampeni za uchaguzi na hii sheria haimzui mtu kupinga mapendekezo yaliyotolewa ma fisadi namba 2 wa kwanza ni lowassa na watatu ni 6 na...
  12. A

    Katiba ya chama cha ACT inayopendekezwa kabla ya kupitishwa na Kamati kuu hii hapa

    hakuna jipya ni kikundi cha walioshtukiwa kwa hujuma wameunda kijisaccos ili wapate fedha kwa mabwana zao ccm
  13. A

    Zitto Kabwe: Nyerere wangu mimi!

    nimependa sana hii speach lakini mwalimu nyerere akuwa msaliti na nyuso mbili kama wewe unajifanya mpinga mafisadi lakini hao unaowapinga unakaa nao na kura nao pesa za wizi na kuandaa nao mikakati ya kuvuruga upinzani kisa umimi mwalimu akuwa mbinafsi hakutaka madaraka kama unavyotaka wewe...
  14. A

    Dr Slaa kupokelewa Kama Mfalme Marekani inamaana anatambuliwa uwezo wake?

    huyu ndie rais wangu kikwete si mtambui
Back
Top Bottom