Recent content by Acm98

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 490,103 wa Kidato cha Nne-2020 waanza kufanya mtihani wa Kitaifa leo

    Kila la kheri katika mitihan yao, mungu awatangulie
  2. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Wakuu twendeni chuo tukapambane ,,binafsi maumivu nliyopitia kipndi nasubri mkopo hayatafutika kirahisi,,pia kwa wale ambao bado hawajabahatika batch 2 mungu awatie wepesi kwenye magumu mnayopitia ,,,ni ngumu kuukubali ukweli ila kila jambo linakuja na sababu .
  3. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Mbona ata kwangu wananiandikia hvyo ila niki click kuangalia wanasema batch 1 sijachaguliwa nisubir batch nyingne wanaanisha nn? Msaada plz
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mechi ya taifa stars vs Tunisia 17/11/2020 kuchezwa saa 20:00Pm, karibu kwa updates

    Binafsi nafahamu hilo ,,ila tunakosea sana kuwatwisha mizigo ya lawama wale 11 wanaolipambania taifa kwa kuvuja jasho uwanjan
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mechi ya taifa stars vs Tunisia 17/11/2020 kuchezwa saa 20:00Pm, karibu kwa updates

    Ni mapuuz ila bado hayajakufikia ,,sema upuuzi wako niwaviwango sana
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mechi ya taifa stars vs Tunisia 17/11/2020 kuchezwa saa 20:00Pm, karibu kwa updates

    Katika hizo match mbili tukipata point 4 n nzur sana kwetu
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mechi ya taifa stars vs Tunisia 17/11/2020 kuchezwa saa 20:00Pm, karibu kwa updates

    Na wakimaliza match hao waume zako uende nao
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mechi ya taifa stars vs Tunisia 17/11/2020 kuchezwa saa 20:00Pm, karibu kwa updates

    Match zilizobaki stars tupo away au nyumban??
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mechi ya taifa stars vs Tunisia 17/11/2020 kuchezwa saa 20:00Pm, karibu kwa updates

    Warundi vpindi kama hivi ni rahsi sana kuwatambua !!
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mechi ya taifa stars vs Tunisia 17/11/2020 kuchezwa saa 20:00Pm, karibu kwa updates

    Dah,, matokeo bado hayatupi nafasi kbsa ,,hii match muhimu kushinda
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mechi ya taifa stars vs Tunisia 17/11/2020 kuchezwa saa 20:00Pm, karibu kwa updates

    Dakika ya ngap
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mechi ya taifa stars vs Tunisia 17/11/2020 kuchezwa saa 20:00Pm, karibu kwa updates

    Kwan ngap ngap hko??
  13. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Wamemjibu Leo au ilkuwa Jana??
  14. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Tunawasubri kwa hamu sana
Back
Top Bottom