Wengine wanasema unabii alikuwa nao toka akiwa mdogo (miaka 3-6), lakini hakugundua! Ikawa anapatwa na mambo ya kimiugiza! Wakati fulani akawa kipofu kwa mwaka mmoja. Ningepeda kujua historia yake kwa ujumla.
Hayo mambo yanachanganya saaaanaaa! Inabidi kusali na kuomba saaaana Roho Mtakatifu atuongoze na atufunulie kuhusu hawa manabii! Kwani kuelewa yupi ni wa ukweli imekuwa ni tatizo kubwa mno! Wamekuwa wengi mnooo..... Ee Mungu tupe mwanga wa kuwagundua hawa manabii, kwani wenyewe kwa wenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.