Recent content by Achielogist

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kocha Fadlu ameuza hii mechi dhidi ya Al Masry kutokana na kukosa maamuzi sahihi

    Narudia kusema Simba hatuna kocha
  2. A

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtangazaji wa kipindi maarufu cha Straight Talk Africa Shaka Ssali afaraiki dunia

    Daaah jembe limetutoka jmn Mungu ampe pumziko la milele
  3. A

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Iran kujenga kibabe ukuta mkubwa wenye urefu kilometa 5,800 kuzunguka nchi nzima kwa lengo la kuimalisha ulinzi na usalama wake

    kwahiyo wewe unajua Saudi Arabia unaitwa nini kama una akili fala kweli
  4. A

    JamiiForums Tanzania Salamu za asubuhi ni hizi hapa. Mwenye akili na some, machawa piteni tu isiwe shida

    Yaani ni ushenzi mtupu
  5. A

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Iran kujenga kibabe ukuta mkubwa wenye urefu kilometa 5,800 kuzunguka nchi nzima kwa lengo la kuimalisha ulinzi na usalama wake

    Mavaa Kobazi akili hakuna yaani yatumie miaka nenda rudi na gharama kibao kujenga ukuta ambao unabomolewa kwa robo siku upumbavu kabisa
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi wa IDF adondoka na kufariki ghafla akiwa kwenye mafunzo

    Wavaa kobazi mnahangaika sana
  7. A

    JamiiForums Tanzania Hili tatizo la kukosa usingizi usiku, ninalo peke yangu au?

    Shida ni hiyo bandle
  8. A

    JamiiForums Tanzania SAMIDRC Mission terminated

    Kagame kawaburuza wote huko wamekimbia
  9. A

    JamiiForums Tanzania Uganda yapeleka askari mji mkuu wa juba South Sudan kunusuru mkataba wa amani

    Hapa ndo nimejua kwanini Uganda alitangaza kuwa ana mafuta mengi
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore anatoa wapi fedha za kufanya maendeleo makubwa hivi Burkina Fasso?

    Daaah my country people
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore anatoa wapi fedha za kufanya maendeleo makubwa hivi Burkina Fasso?

    Huku kazi ni kulindana na kuteyeana ili mfumo husitoke madarakani upuuzi mtupu watu wamaliza rasilimali za nchi na watu masikini wanabaki kushangaa tu na kuteseka hongera kwa Mwamba kaweza
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ethiopia Yaanzisha mashambulizi ya Anga nchini Somalia kuwalenga Al Shabab

    Hivi hawa c walikuwa hawaelewani kisa Somali land ?
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Saudia ni kibaraka wa Marekani?

    safi sana kuna watu wanasoma sana vitabu I like it good
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Saudia ni kibaraka wa Marekani?

    mleta mada wenzako sikuhizi wanasoma wanatafakali mambo wanapambania issues hawako kwenye tamaduni zilizo wapumbaza kwamba hawatakiwi kusoma elimu Dunia sasa kachimbue vitabu ujue Mohamed alikuwa nani na alikuwa na ufahamu gani ndo utapata jibu la maswali yako
Back
Top Bottom