Tumaini Makene ni aibu kuwa msemaji wetu na hujui kesi hii kuwa imeisha!!!! Basi jipe muda acha kukurupuka kwani tunakuheshimu sana wengine humu, nenda kamuulize mwanasheria /wakili aliyewekwa na chama kufungua kesi hii
Zipo tetesi kuwa Nape kawabwaga Chadema mahakamani katika kesi waliyofungua wakimdai Tshs 3bill kwa madai kuwa kawachafulia jina kwa kusema wanatakatusha pesa na kupewa pesa kutoka nje!! Kesi ilikuwa inasikilizwa na majaji watatu.
Nape katoa ushahidi wa kufa mtu, katika hukumu yake Jaji...
Ukweli sakata la kukamatwa walioitwa house boys na girls nyumbani kwa Lwakatare
Wandugu,
Siku chache zilizopita, kulikuwa na taarifa zilizoshtua kuhusu kukamatwa walioitwa house maids wa Lwakatare kimara nyumbani kwake. taarifa iliyotolewa haraka na kurugenzi ya habari ya chadema jamii...
Unalaana wewe ya baba na mama yako maana umewatukana kuwa wapumbavu kisa tu wametoa kura zai kwa CCM kwa miaka yote! Mabavicha bwana full viroba tu akili zao zote!
"Hakika wanaimarika" ... Kwa kushinda kata tatu kati ya 27 pamoja na kurusha chopa tatu, aaah wanakubalika sana. "Hakika wanakubalika" kwa kupata asilimia 11% uchaguzi mdogo wa Kalenga na asilimia 10% uchaguzi mdogo wa chalinze, aaaaahkh!! Kweli upinzani unakua sanaaaaaaa
Kwa muda sasa hata vyombo vya habari vimepuuza kabisa kureport taarifa za upinzani nchini ukiacha gazeti moja la Tanzania Daima ambalo ni rahisi kujua kwanini wamebaki peke yao!
Moja ya sababu ni kukithiri kwa migogoro ndani ya vyama vya siasa ISIYOTAFUTIWA MAJAWABU KWA MUDA SAHIHI! Eg...
Hahahhaha! Mabavicha mmehangaika weeee mwisho yametimia niliwaambia hamuwezi zuia mafuriko kwa viganja!!! Rais wa serikali ya wanafunzi SAUT, Saimon Filbert Macheyeki kakabidhi kadi ya CDM kwa Nape na kupewa kadi ya kijani kadi ya CCM.
Big Up Nape, kanyaga twende!
Hakika Nape anaeachezesha kwata CDM ni balaaa,maana hapa nipo Morogoro kuna mikutano mingine lakini macho na masikio ya maCDM yapo Saut anakonyolewa mtu leo bila maji wala sabuni....
Katika hali ya kushangaza sana CDM Taifa na viongozi wa CHADEMA SAUT wamehaha usiku kucha kujaribu kuzuia mafuriko yanayotarajiwa kuifurikisha Chadema leo SAUT kufuatia ziara ya siku mbili ya Nape Nnauye, katibu wa itikadi na uenezi wa CCM.
" kwanza walileta pesa ili kuzuia vijana wasihudhurie...
We kenge subiri tulia mnyolewe, huwezi panda mahindi ukavuna mtama, ulichopanda ndicho utakacho vuna.
Acha kuua watu aliyefariki KCMC ni baba mzazi wa Martha Mlata we unaua wengine kwa pressure yako ya kijinga tu! Na kwa taarifa yako mazishi ya Singida yako Ijumaa na angalia mpaka mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.