Bila shaka elimu yako haikusaidii kujua unachosimamia, tunazungumzia katiba na sheria kuleta maendeleo. Umesema china haina katiba lakini ina maendeleo makubwa. Ndio nikakwambia usijiringanishe na China yenye teknolojia kubwa namna ile. Lakini pia kwa faida yako China licha ya kutokuwa na katiba...
Katika hili wewe ndio umeonyesha jinsi ulivyo tahira wa kiwango cha lami.
Yaani unathubutuje kujilinganisha na China nchi yenye teknolojia kubwa wakati wewe hata toothpick tu unaagiza huko huko China, halafu unathubutu kutoa uharo wako kwa mdomo.
Jitafakari.
Kuna baadhi ya Watanzania wenzetu imani yao kwa viongozi wetu wa nchi inatawaliwa zaidi na mapenzi yao au chuki yao kuliko uhalisia.
Mtu akishampenda kiongozi fulani kwasababu zake binafsi, basi kiongozi huyo hata akiwa anaboronga katika utendaji wake wa kazi, yeye ataona yuko sawa, hata akiwa...
Ndugu yangu inaumiza na inakera sana.
Utawala uliopita ulijaa ghiliba sana katika kuendesha nchi. Walisema nchi yetu ni tajiri, na miradi hiyo tunaitekeleza kwa pesa zinazotokana na makusanyo ya mapato yetu ya ndani. Walienda mbali kwa kusema zamani haikuwezekana kwasababu pesa zilikuwa kwa...
Nakumbuka Rais Mstaafu wa Kenya aliwahi kufanya ziara hapa Bongo na kuna barabara ikapewa jina lake. Sina hakika kama hilo jina linatumika tena kwenye hiyo barabara
Kwanza una matatizo mawili ya msingi.
1.Wewe ni mshamba, na kutokana na ushamba wako unaona kilichofanyika Ubungo ni kama muujiza na unadhani hakijawahi kufanyika mahali pengine duniani.
Wakati ukweli ni kwamba kwa mji kama dar, kilichofanyika hakifanani na interchange katika miji na majiji ya...
Kinachosikitisha zaidi ni kama hakutakuwa na wagombea wengine kutoka vyama vingine.
Labda kwa vile wanajua mgombea wa chama chao huwa anashindishwa tu hata kama kura hazitoshi.
Kaka usijisumbue juu ya hao mbumbumbu waimba mapambio. Kutokana na umbumbumbu wao Hayati kila alipokuwa akiwaambie Tanzania ni nchi tajiri na ataifanya kuwa donor country basi mbumbumbu walikuwa wakikenua meno na kuona maisha yao tayari yamebadilika kwa kauli hiyo.
Eti tutawapelekea wazungu...
Kwako wewe,Lissu alikuwa mkwepa kodi au alikuwa na vyeti feki ambaye adhabu yake ni kumiminiwa risasi zisizokuwa na idadi kwa nia ya kumuua. Ben Saanane vyeti feki adhabu yake ni kumpoteza, Azori Gwanda mkwepa kodi adhabu yake kumpoteza, Mawazo vyeti feki adhabu yake ni kupigwa mashoka na...
Bahati mbaya sana wengi wenu hamjui legacy ina pande mbili, positive na negative. Kwahiyo kila mmoja wetu ana namna yake ya kumkumbuka Hayati iwe kwa wema au kwa ubaya wake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.