Recent content by Achaacha

  1. Achaacha

    JamiiForums Tanzania Nimemuona Balozi Seif Idd Makamu wa Rais Znz,Kisiwandui mshaurini apumzike

    Habari sana inatakiwa upime maneno kabla ya kunena
  2. Achaacha

    JamiiForums Tanzania Habari Njema kwa wakulima wa korosho: Bei ya Korosho juu!

    Neema kwa wakulima
  3. Achaacha

    JamiiForums Tanzania Ikiwa tangu enzi Viongozi wetu wa dini walivaa hivi kwanini sisi tuvae tofauti kinyume na maadili...

    Nyinyi kwenu mmeacha lakini kwetu bado tunayo
  4. Achaacha

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akiri kuwa na uraibu wa kuzaa, ana watoto 12 kwa miaka 9 sasa

    Yah.. safi sana hiyo inapendeza
  5. Achaacha

    JamiiForums Tanzania Toyota ractis kama unauza sema au toa ushauri wa ubora

    Mkuu nahitaji hilo gari Ractis wapi tuonane...?
  6. Achaacha

    JamiiForums Tanzania Wewe ni mkali kwenye mchezo gani?

    Mm kulenga shabaha
  7. Achaacha

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwanini paka wengi wanapenda sana samaki na wanachukia sana nyama ya nguruwe?

    Mkuu kila kitu kimewekwa wazi na aliyetuumba ,kwahivyo awe mtu ama mnyama au mdudu ,amewekewa utaratibu wa kuishi hapa ulimwenguni
  8. Achaacha

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwanini paka wengi wanapenda sana samaki na wanachukia sana nyama ya nguruwe?

    Halipeni tu ila kwake ni halali kula kama ilivyo kwako wewe kuna vitu huvipendi hakini ni halali kwako kula
  9. Achaacha

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwanini paka wengi wanapenda sana samaki na wanachukia sana nyama ya nguruwe?

    Wala haina maana hiyo ila paka kajua ya kuwa kula haramu kwake ni maasi Ova...!
  10. Achaacha

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwanini paka wengi wanapenda sana samaki na wanachukia sana nyama ya nguruwe?

    Kama paka anajua kuwa huyo mdudu ni haramu iweje mtu anakula...? Dah..uroho ni ugonjwa mbaya sana
  11. Achaacha

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa Daktari wakamilika: Aliyetobolewa macho na Scorpion hatoweza kuona tena

    Unyama sana kafanyiwa pole sana
  12. Achaacha

    JamiiForums Tanzania Mtatiro: Lipumba alisaliti chama tangu zamani, alimsaidia Kikwete uchaguzi wa 2010

    Ndo maana ilikuwa aonyeshi kuguswa kila akikosa urais
  13. Achaacha

    JamiiForums Tanzania Waumini wajidunga visu mashabiki katika wiki ya kususia ulaji wa nyama

    Sisi hatuna ujinga kama huo..imani gani ya kujitesa namna hiyo
  14. Achaacha

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Usalama barabarani Dar wakusanya Tsh. 767,790,000 ndani ya siku 10

    Hujitambui...hayo ni makosa ya kulazimisha
  15. Achaacha

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Usalama barabarani Dar wakusanya Tsh. 767,790,000 ndani ya siku 10

    Hata mimi nimeonewa wiki iliyopita... Namlaani sana trafik yule
Back
Top Bottom