Recent content by Acehood

  1. Acehood

    JamiiForums Tanzania 📚 Vitabu, vitini na mitihani ya shule za msingi vinapatikana 📚

    Samahani mkuu nimekosea kujibu hapo juu. Darasa la sita mtaala mpya kwa sasa hatuna.
  2. Acehood

    JamiiForums Tanzania 📚 Vitabu, vitini na mitihani ya shule za msingi vinapatikana 📚

    Ndiyo mkuu vinapatikana
  3. Acehood

    JamiiForums Tanzania 📚 Vitabu, vitini na mitihani ya shule za msingi vinapatikana 📚

    📚 VITABU, VITINI NA MITIHANI YA SHULE ZA MSINGI VINAPATIKANA 📚 Je, wewe ni mzazi, mlezi, mwalimu au unamiliki shule ya msingi? Tunatoa vitabu na vifaa mbalimbali vya kujifunzia kwa Shule za Msingi za Swahili Medium na English Medium, kwa madarasa yote kuanzia Awali hadi Darasa la VII...
  4. Acehood

    JamiiForums Tanzania Kukosekana leaving certificate wakati wa maombi ya cheti cha kuzaliwa

    Asante sana mkuu. Nashukuru
  5. Acehood

    JamiiForums Tanzania Kukosekana leaving certificate wakati wa maombi ya cheti cha kuzaliwa

    Msaada wakuu. Nataka kufanya maombi ya cheti cha kuzaliwa ya mdogo wangu lakini leaving certificate ilipotea. Lakini kuna mdau aliniambia kuna uwezekano wa kufanikiwa kupata hicho cheti cha kuzaliwa ukiwa na barua ya utambulisho kata na cheti cha ubatizo. Wakuu naomba yeyote aliyewahi...
  6. Acehood

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aulizwa “Utafanya nini kukabiliana na vikwazo, Tanzania ikifanya biashara na Urusi”. Yeye ajibu “Hatuna Vikwazo vyovyote”

    Dah nimebubujikwa na machozi mengi sana kuambiwa hivyo 😓
  7. Acehood

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa sahihi kujibu vile kwa nafasi yake kama Rais

    Unajua mass ndiyo inafanya watu waje wamtetee. Why? Kwasababu the mass imeamua kutokuelewa kila anachokisema
  8. Acehood

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa sahihi kujibu vile kwa nafasi yake kama Rais

    But it could the opposite 🤔. Maybe us, the citizens are the problem, that we always find untraceble faults in every of her speeches.
  9. Acehood

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aulizwa “Utafanya nini kukabiliana na vikwazo, Tanzania ikifanya biashara na Urusi”. Yeye ajibu “Hatuna Vikwazo vyovyote”

    Swali la moderator lilikuwa linahusu vikwazo alivyowekewa urusi hasa kwenye uchumi na kwa namna gani Rais wa Tanzania na serikali yake wanaweza kukuza mahusiano ya kiuchumi na urusi ambayo tayari imewekewa vikwazo vya kufanya biashara kimataifa.
  10. Acehood

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa sahihi kujibu vile kwa nafasi yake kama Rais

    Kusema ukweli sijapenda kukosea title ya mada.
  11. Acehood

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa sahihi kujibu vile kwa nafasi yake kama Rais

    Bado haujataka kufikiria upande wa pili. Mimi sio chawa kama kina Lucas Mwashambwa. Nimeandika hivo kama mtanzania tu
  12. Acehood

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa sahihi kujibu vile kwa nafasi yake kama Rais

    Nashukuru mkuu kwa kwa kunielewesha.
Back
Top Bottom