📚 AcademiazSoft - Mfumo Bora wa Usimamizi wa Shule📊
AcademiazSoft ni mfumo wa kisasa unaorahisisha shughuli zote muhimu za shule kwa ufanisi mkubwa. Imebuniwa kwa teknolojia ya hali ya juu ili kusaidia walimu, wanafunzi, wazazi, na uongozi wa shule kwa njia ifuatayo:
✅ Usimamizi wa Taarifa za...
📚 AcademiazSoft - Mfumo Bora wa Usimamizi wa Shule 📊
AcademiazSoft ni mfumo wa kisasa unaorahisisha shughuli zote muhimu za shule kwa ufanisi mkubwa. Imebuniwa kwa teknolojia ya hali ya juu ili kusaidia walimu, wanafunzi, wazazi, na uongozi wa shule kwa njia ifuatayo:
✅ Usimamizi wa Taarifa za...
Unatafuta mfumo bora wa kidigitali wa kusimamia shule yako?
AcademiazSoft ni jibu sahihi kwa shule za kisasa zinazotaka uwazi, ufanisi na taarifa sahihi kwa wakati.
Tunatoa:
✅ Usimamizi wa wanafunzi (registration, attendance, discipline)
✅ Taarifa za kitaaluma – Matokeo, Report Cards...
AcademiazSoft ni mfumo wa kisasa wa usimamizi wa shule uliobuniwa mahsusi kwa mazingira ya shule za Tanzania. Lengo letu ni kurahisisha kazi za kiutawala na kitaaluma kwa kutumia teknolojia, ili walimu, wakuu wa shule na wasimamizi waweze kuokoa muda na kuongeza ufanisi.
Kwa kutumia...
Huyu dada inaonekana kama ana maadui wengi sasa sijui ni fitna au wivu tu juu yake au ni nini?
Maana nimesikia leo kioind wasafi radio akina zembwela na kitenge wanamkalia kooni haswa mpaka nikajiuliza ,shida ni hii hii michango au labda kuna mengine?
Taarifa ya Zembwela alioiongea leo redion imenishtua sana.
Anasema zile nyumba za kariakoo nying zimechimbwa sana chini kwa chini toka upande mmoja had wa pili. Anasema hata ile bara bara ya mwendokas eti iko juu ya mahandaki muda wowote kinaweza tokea chochote..
Anasema et huu ni uhuni ambao...
Sawa zinaweza kuwa hazina maana ila hapo kwenye 150k, ndio u maana unapoanzia.
Kama suala ninkwemda haraka bas si bora kusimama tu watuchaji 5k maana kufika ni kule kule tu
Kuna mwingine huyo yeye anaamka anawasha gesi anakaanga mayai anakula anarud kulala. Hata siku moja hali kiporo kilichobaki usiku kwenye hizo ndoto zake..yeye anagonga mayai tu. Anaweka na chumvi akimaliza anazima gesi akula anarud kumbonji
Ni kwel usemacho. Akiyakataa mbona mzazi unajua mapema tu hapa kuna mtu au hakuna.
Lakin hata atleast atakua ana awareness kuwa hiz si njia wazaz wangu wanapenda so bado italeta tofaut na yule asiyefunzwa kabisaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.