UKISEMA
SIO KOZ YA KUKIMBILIA UNAKOSEA SANA,NIMESEMA JUST IN CASE MTU AKIPENDELEA AFUNDISHE IWAPO KESHAMALIZA KOZ HUKU AKISUBIR CHET CHA BSC CHEM.... NI CHANS AMBY0 TUNAPEWA BILA KUENDA NA CHET, UNAPATA VERIFICATION LETTER KUTOKA KWA PRINCIPAL WA COLLEGE,UNAKWENDA NAYO WIZARANI
KWANZIA MWAKA JANA WAMETOA CHANC KWA WANAOTAKA KUFUNDISHA WAPELEKE MAOMBI YAO WIZARANI KISHA WATAPANGIWA ... ISPOKUW KAMA UNATAKA KUWA MKEMIA MAHALI FULAN LAZMA UKAOMBE SEHEMU HUSIKA
Hello,
karibu sana [UDOM] Bachelor of science in chemistry ni faculty ambayo inapatikana katika collage ya natural and mathematical sciences.
wengi huwa wanachanganya hudhani ni faculty ya education, hapana wala si miongoni mwa faculty za education
anaesoma faculty hii hudailiwa kwa ajiil ya...
ramadhan kipingu hapa. aliekuwa academic prefect ,maaruf sanaa technical 2012/2014 advanced level
sasa kuna haja ya kuanzisha grup whatsapp kwa kujuana zaid .. wengine humu kuingia kwa nadra sanaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.