Recent content by Abuu Rayhaan

  1. A

    JamiiForums Tanzania habari za mda huo jamani naomba ushauri

    zanzibar tunategemea nyanya kutoka mikoani na ya kenya huku hakuna mashamba makubwa na ata ukifika msimu wa huku hadumu sana ndo maana nikataka nitafute uzoefu na ushauri humu maana ao wanao tuuzia wanatoa mikoan na dar iyo ya kenya
  2. A

    JamiiForums Tanzania habari za mda huo jamani naomba ushauri

    sasa hivi vitunguu mtaji wake uanze na bei gani maana nataka nichukue kuanzia roba 6 - 10 za kilo 100-120
  3. A

    JamiiForums Tanzania habari za mda huo jamani naomba ushauri

    nitoe daa nilete zenji so nifanye uko
  4. A

    JamiiForums Tanzania habari za mda huo jamani naomba ushauri

    [/USER]
  5. A

    JamiiForums Tanzania habari za mda huo jamani naomba ushauri

    eeh nitoe uko ila nataka ile ya kenya
  6. A

    JamiiForums Tanzania habari za mda huo jamani naomba ushauri

    Pia naomba ushauri kwa mwenye uzoefu wa biashara ya kitunguu maji na mtaji wa kuanza nao na pia conection
  7. A

    JamiiForums Tanzania habari za mda huo jamani naomba ushauri

    bei haitabiriki ikipanda sana boksi 1 kubwa laki na 10 - 20 ndogo laki 1 mpaka laki na 10 ila saiv zimeshuka sana hadi 60 unapata
  8. A

    JamiiForums Tanzania habari za mda huo jamani naomba ushauri

    bei juu sana
  9. A

    JamiiForums Tanzania habari za mda huo jamani naomba ushauri

    Habari zenu wana jamii forums mimi ni kijana kutoka zanzibar naomba ushauri wenu juu ya biashara ya nyanya kutoa daa kuleta zanzibar na conection maana zanzibar tunapigwa sana
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha “Machimbo ya Bidhaa Kwa Bei ya Jumla Kariakoo”

    Kwa tulio zanzibar jee mizigo pia inatumwa?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    😄😃😀😀😀
  12. A

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    Kwa iyo systeam haijafungwa?
  13. A

    JamiiForums Tanzania JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

    lkn nimesikia kwa wale waliomba military sience
  14. A

    JamiiForums Tanzania JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

    Vp jamani mbona nasikia simu zishaanza pigwa kuna ukweli wowote ?
  15. A

    JamiiForums Tanzania JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

    mwenye na ronja wapi wataanza ripoti kati ya msata na oljoro naomba jamani?
Back
Top Bottom