Recent content by Abuu Kauthar

  1. Abuu Kauthar

    JamiiForums Tanzania Nauza mitiki yangu, ipo shambani jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani

    Ndugu nami ninayo mitiki inayozidi kiasi cha miti 2,000 ambayo imefika diameter ya 60-100 ipo zaidi ya miti 400 hivyo nahitaj kuvuna ili nitatue changamoto zangu, ina miaka 10+ ipo Mkuranga Pwani. Karibu
  2. Abuu Kauthar

    JamiiForums Tanzania Miti ya mitiki (teak trees) 100 inauzwa. Zanzibar

    Mimi ninayo zaidi ya miti 2000 iliyo tayari kuvunwa kwa size ya 60-100 ipo zaidi ya 400 anayehitaji anicheki iko Mkuranga mkoa wa pwani ina miaka 10 sasa
  3. Abuu Kauthar

    JamiiForums Tanzania GPA ya 3.0 anaweza kua shortlisted katika Kazi za serikalini?

    Njoo nikupe vyeti vyangu buree GPA ya 4.0 Safi ukapambane navyo
  4. Abuu Kauthar

    JamiiForums Tanzania Alphard vs verifirre ninunue ipi kwa mtumizi ya familia ya watu 8

    Mwongo huyo, hata guta hajui kuendesha anatoa ushuhuda wa Alphard 😁😁
  5. Abuu Kauthar

    JamiiForums Tanzania Alphard vs verifirre ninunue ipi kwa mtumizi ya familia ya watu 8

    Huna hela ya kununua gari unafurahisha genge tu
  6. Abuu Kauthar

    JamiiForums Tanzania Alphard vs verifirre ninunue ipi kwa mtumizi ya familia ya watu 8

    Speed 120 unaacha njia kivipi? Usiandike vitu kwa hisia zako ama u-leaner ama ubovu wa gari yako, kuna uhusiano upi wa alphard speed 120 na kuacha njia?
  7. Abuu Kauthar

    JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na wana Yanga SC wenzangu tafadhali kuna Ujumbe wetu hapa na wala tusiukasirikie

    We mwanamama mshangazi Genta tafuta mume uolewe acha kuzeeka na ugumba
  8. Abuu Kauthar

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu waislamu hebu legezeni kamba za imani, kiongozi wa kitaifa akitangulia isiwe tangazo la msiba saa nne, saa nne, saa saba maziko

    Si umeambiwa wawili? Mtala ambaye yupo kwenye eda ya talaka anakaa eda na anahesabiwa mjane ila kama alishamaliza eda na hakurejewa anakuwa sio mjane
  9. Abuu Kauthar

    JamiiForums Tanzania Kocha Gaborone; Yanga ndio yenye presha zaidi

    Timu ile makolo wako si walicheza nao last season je walishinda?
  10. Abuu Kauthar

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Ukristo Hauna Mfumo wa Social Guidance Kama Uislamu na Uyahudi?”

    Zinaa maana yake nini kwa mujibu wa vitabu vyenu wakristo?
  11. Abuu Kauthar

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Ukristo Hauna Mfumo wa Social Guidance Kama Uislamu na Uyahudi?”

    Ukristo ni dini aliyotunga Paulo, ukitaka kujua ni watu wakutunga, waulize ZINAA maana yake nini?
  12. Abuu Kauthar

    JamiiForums Tanzania Car4Sale WHAT? NISSAN X-TRAIL YA DIESEL IKO SOKONI

    Chuma imesimama, vipi ulaji wa mafuta?
  13. Abuu Kauthar

    JamiiForums Tanzania Katambi ana mamlaka gani kusamehe wasanii? Waliotenda makosa hayo na kufungwa jela watasamehewa na nani?

    Si kama Padri tu anavyomsamehe muumini aliyemkosea Mungu, kuna ubaya gani kwani
  14. Abuu Kauthar

    JamiiForums Tanzania FVS imekuja kwaajili ya Simba, walibebwa sana na makosa ya kibinadamu

    Kefa Kayombo, Tatu Malogo and Co. Hawa wote hawana sifa za kuchezesha mechi za ligi na waliachwa kwa sababu ya Simba sasa wataipata Pata mwaka huu
  15. Abuu Kauthar

    JamiiForums Tanzania FVS imekuja kwaajili ya Simba, walibebwa sana na makosa ya kibinadamu

    Pamoja na FVS
Back
Top Bottom