nimeipenda approach yako ya kuunga mkono hoja na kutoa mapendekezo. Ila nahisi itakuwa na mchanganyiko mkubwa sana na kutishia upatikanaji wa tija, maana Ardhi, kilimo,mazingira,mifugoMaliasili na ushirika ni tofauti sana unless uwezeshaji uwe mkubwa wa kutosha vinginevyo mkuu wa Idara atakuwa...