Recent content by Abukhidhr

  1. A

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    the greatest glory of living doesnot lie in the way you fall but lies on the rise after every fall
  2. A

    Majina haya ya mabasi yaendayo kusini yanamaanisha nini?

    wifi ilikuwa 'wifi nae' ni msemo ambao mmiliki wake mwenye asli ya kiasia alipenda kutania. Somea ni surname na mengi ni majina ya watu ,misemo,na vitu ambavyo owner wamependa. its not big deal it seems imependa WIFI
  3. A

    Hivi kuna uhusiano wowote kati ya Sura au Muonekano wa Mtu na Roho yake? Let us Discuss

    weupe in comparison with blacks not of other races. ??? means chunguzeni
  4. A

    Hivi kuna uhusiano wowote kati ya Sura au Muonekano wa Mtu na Roho yake? Let us Discuss

    when i was 20s my late auntie alikuwa anamsema mtu mmoja ambaye alikuwa mweusi kuwa mwusi mpaka rohoni. Aliniambia ukimuona mtu ana weusi tii kama amepakwa kiwi basi jua roho yake mbaya Am in 50s now, her words arevery much true CHUNGUZENI Na majority wenye sura za kutisha ni katili...
  5. A

    Uchafuzi wa mazingira unaosababishwa na Royal detergents & soao ind ltd

    thou ni kiwanda kidogo lakini kinamilikiwa na moja kati ya wale matajiri watano wa tz Wandugu bado wakazi wa makuburi wanateseka.NEMC wamepewa taarifa na wakazi mbalimbali na hivi sasa kuna ujumbe umeenda huko. Hawa wadosi jeuri wanazidi kupeperusha. inaathiri mpaka reservers za maji ya mvua...
  6. A

    Uchafuzi wa mazingira unaosababishwa na Royal detergents & soao ind ltd

    kiwanda hiki cha sabuni ya unga kipo mkabala na mandera rd kati ya extrnal na mwananchi maarufu kwa jina la Garage kimekuwa kikipeperusha harufu na unga wa sabuni kwa wakazi wa Makuburi. sabuni hiyo imekuwa ikionekana dhahiri asubuhi ktk magari na pikipiki zinazolala nje. Uongozi wa serikali...
  7. A

    Kusini-The i solated part of the country.,the essence of Machinga...!

    what you have said is the reality, but who is this serikali,its not they dont know that, but they are greedy n whatever is suppossed to b done there they see it like a favor not our rght to get equal distribution of development just recently deputy minister oworks alisema ' hatushukuru barabara...
  8. A

    utambulisho

    hodi members, kidogo nilionja neema ya 60s na 70s ningependa niwe kama yule mzee kifimbocheza. std 5 ktk somo la haiba na michezo wanajifunza karata draft na bao!!!
Back
Top Bottom