Recent content by Abubaro D

  1. A

    JamiiForums Tanzania Form 5 wa mwaka huu ni vichwamaji

    sikia mkuu, alichokosea huyo mtoa hyo mada ni kitendo chake cha kusema 'form five mwaka huu vichwa maji' wakati kuna watu wamejipatia one zao kihalali kabisa, ameongea point ,ingawa amekurupuka kwenye kutoa hyo point yake.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Form 5 wa mwaka huu ni vichwamaji

    Sijakuelewa mkuu ,kwahyo unachomaanisha hata ambao walifaulu tangu matokeo ya kwanza nao ni vilaza? Manake kwnye title umeandika form 'five mwaka huu ni vichwa maji' dizaini kama umekurupuka mkuu, next time fikiri kwanza kabla ya kuropoka ,ila siyo mbaya na ww umetekeleza haki yako ya kikatiba...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Matokeo mapya kidato cha nne 2012 kutangazwa kesho jumatatu

    Sio wote waliofaulishwa mkuu, sababu kuna mtu unakuta alikuwa ana div iv ya 26, xaxa akipata div iii ya 24 unafikiri kabebwa huyo?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Xbox one mpinzani wa playstation 4

    Haya ndo shilingi ngapi hayo makolokocho?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Waliofeli kidato cha nne waula, ufaulu sasa waongezeka

    Teh teh tunashukuru sana serikali yetu tukufu, tunaomba hao wanafunzi wakifika form six muwabebe tena!
  6. A

    JamiiForums Tanzania Matokeo mapya kidato cha nne 2012 kutangazwa kesho jumatatu

    Hamna ki2 kama hicho coz kesho wanatoa bajeti yao ya elimu so hawawezi kuchanganya mambo hayo yote kwa siku moja.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ukimwi ni nouma, unaweza ukafa kwa hofu.

    Dah ni kweli kabisa uyasemayo mkuu, shukrani kwa ushauri wa bure.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ukimwi ni nouma, unaweza ukafa kwa hofu.

    danganya toto hiyo.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ukimwi ni nouma, unaweza ukafa kwa hofu.

    siku hizi tunawahi kubalehee.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ukimwi ni nouma, unaweza ukafa kwa hofu.

    yah but ni true story!
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ukimwi ni nouma, unaweza ukafa kwa hofu.

    Ni kweli kabisa ndugu yangu.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ukimwi ni nouma, unaweza ukafa kwa hofu.

    dah yan we acha kabisa mkuu!
  13. A

    JamiiForums Tanzania Ukimwi ni nouma, unaweza ukafa kwa hofu.

    Nishajitambua ndugu yangu.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Ukimwi ni nouma, unaweza ukafa kwa hofu.

    Mimi ni kijana muhitimu wa kidato cha nne, kiukweli tangu nipo shule, kubadili wasichana (playboy) ilikuwa tabia yangu, sikujali ki2, na kwa kuwa nilikuwa mzuri darasani wasichana hawakuacha kujipendekeza, na mimi sikufanya hiyana, niliwala kisawasawa, mwaka jana wakati tunasubiria majibu ya...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo wakuu.

    Shukrani kwa mawazo yako mkuu, kuna jamaa ndo walinambia hyo inshu kuwa ukibuma math, hautatakiwa kusoma masomo ya science A-Level, by da way pamoja sana mkuu!
Back
Top Bottom