Recent content by abu-luqman

  1. abu-luqman

    Biashara ya Stationery

    Napendelea nifanye jumla na rejareja
  2. abu-luqman

    Biashara ya Stationery

    Naomba mwenye ufahamu juu ya biashara ya kuuza vifaa vya shule na maofisin. 1. Naomba kujua faida ya hii biashara, changamoto zake 2. Bidhaa gan ni muhimu zaid kuwa nazo dukan 3. Machimbo ninayoweza pata bidhaa hizo kwa bei rahis ya jumla kwa dar
  3. abu-luqman

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo ARUSHA nije MKURANGA idara ya sekondari 0767148085
  4. abu-luqman

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Kweli hapo umesema jambo
  5. abu-luqman

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NJOO ARUSHA TUJE SONGEA IDARA YA MSINGI NA SEKONDARI 0767148085
  6. abu-luqman

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NJOO ARUSHA TUJE SONGEA IDARA YA MSINGI NA SEKONDARI 0767148085
  7. abu-luqman

    Changamkieni huu mchongo wadau unaweza kuwainua kiuchumi

    Kwa upande wangu ni biashara isiyo na baraka za mungu. Kwa sabab si kila aliyekamatiwa chombo chake karidhika yuaumia nafsin mwake kwa kushindwa kukikomboa
  8. abu-luqman

    Nahitaji soko la unga wa dona na sembe

    Hiyo bei ndiyo standard
  9. abu-luqman

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Nahisi nimeshakua tajir kabla ya kufanya nlichojifunza
  10. abu-luqman

    Nawezaje kuwa Wakala wa benki. Mfano NMB na CRDB

    Endeleeni kutupa taarifa wale mtaofanikisha
  11. abu-luqman

    Nahitaji soko la unga wa dona na sembe

    Ninakuletea popote ulipo. Kwa kila atayenitafutia wateja wa kuanzia mifuko 400 nitampa shilingi laki mbili(200000/=) kama kamisheni. Hata kwa nje ya nchi ikibidi. Bei zetu ni kama ifuatavyo:- Sembe kg. 5-4000/=,kg. 10-8000/=na kg. 25-16000/=Dona kg5-3500/=kg10-7000/=na kg25-15,000/=karibu...
  12. abu-luqman

    Natafuta soko la Mahindi

    Habar wadau. Naomba kufahamu soko la mahindi lenye bei nzur kwa ndani au nje ya nchi. Mahind yangu yanaharibikia ndani.
  13. abu-luqman

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo tanga Kilindi nije pwani. Idara secondary 0767148085
Back
Top Bottom