kaka kwanini hukusajili kwa alama za vidole kwq msisitizo wote ule...
mbaya zaidi airtel huwq wanatukumbusha wateja wao kuzisajili hizi lain zetu kila siku ukipiga tu simu kwa mtu kabla simu haijapokelewa unakumbushwa na mhudumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam ngoja tukueleze
Biashara ya bookshop ni nzul na inahitaji mtaji wa kawaida ata lak 5 sharti kwamba vitabu utakavyouza wewe ndo uwafuate wateja.
Maana yake chagua level ya elimu ambayo utauza vitabu vyao mfano wanafunzi wa primary english medium so unaingia viwandani apo kkoo unafunga...
Nenda kariakoo bookshop yoyote nunua vitabu vya watoto prmary sec etc uza mashulen...
Nenda mchikichini tafuta uagent wa mwandishi yoyote mzuri wa vitabu nenda mashulen ukauze...
abufadhil ayyub
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.