Recent content by Abu atiqah

  1. Abu atiqah

    Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

    Kibiti waislamu wangapi uliwaona kwa macho yako ?, na je,,? Ndio mafundisho ya uislam yalivyo na pia katika ukristo mitume wa uongo si wamekemewa sasa mbona kila leo mitume na manabii wanazuka. Watu wanatapeliwa kwahiyo hayo ndio mafundisho ya dini yenu Ndio kwahiyo,??? Tunajifunza nini
  2. Abu atiqah

    Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

    Kibiti waislamu wangapi uliwaona kwa macho yako ?, na je,,? Ndio mafundisho ya uislam yalivyo na pia katika ukristo mitume wa uongo si wamekemewa sasa mbona kila leo mitume na manabii wanazuka. Watu wanatapeliwa kwahiyo hayo ndio mafundisho ya dini yenu??
  3. Abu atiqah

    Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

    Very very complicated Mara yesu mungu!!! Mara mwana wa mungu!!. Mara roho wa mungu. Sasa yesu aliyekuwa anamuta baba ni nani? Na salamu ya baba yetu uliyembinguni amesema nani?? Very complicated
  4. Abu atiqah

    Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

    Makusudia ya hayo maneno unayajua au just copy and paste.na histori ya hayo maneno kushuka unajua?? Soma kwanza historia mpaka ikashushwa hiyo Aya. Na maudhi ya mwqnzishaji mada yapo hapo kuhusu roho.
  5. Abu atiqah

    Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

    Hivyo vitabu ameandika nani Hiyo vitabu ameandika nani??, Nisawa sawa umlete mwana CCM kuchambua Irani ya chadema. Utapata nini?? Kichwa cha Habari na yaliyoandikwa ndani ni tofauti. Ukiwa msomi mzuri leta similarities upande moja na mwingine ndio tutaweka hoja za kielimu now ni just story na...
  6. Abu atiqah

    Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

    Wewe ni muumini wa propaganda yaani hizi picha unazoonesha ndio uislam unavyoeleza hvyo au just copy and paste tabia za watu. Ni mfano wa sanamu la yesu na mama yake yaliyopo makanisani kwa kuwaaminisha watu kuwa ni yesu kweli kumbe ni muigizaji wa Hollywood. Kuwa na fact bro acha propaganda
  7. Abu atiqah

    Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

    Weka hoja za kielimu. Uislam ndio umefundisha hvyoo?? Au nitabia ya chuki . Nioneshe Bible ya kwqnza kuwa imeandikwa lugha ya kiswahili unachotumia wewe.??? Achana na hoja za ubinafsi weka hoja za msomi sio maneno ya mipasho
  8. Abu atiqah

    Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

    Uzuri unasema tabia za waislamu sio kwamba unasema uislam unasemaje. Leta hoja juu ya huo uisĺam ambao umesoma wewe. Tatizo hoja zako ni za ku attack waislamu. Tambua uislam ni muongozo na muislam ni mfataji muongozo. Sasa weka hoja sio ku attack tabia za baadhi ya watu
  9. Abu atiqah

    Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

    Kumbe wewe ndio haujui bali unekuja kupotosha watu. Kuwa mkristo ndio fact ya historia ya uislam haijulikani. Kwa taarifa yako ukisoma vizuri historia ya uislam mambo mengi yaneelezwa. Ebu nielekeze mtaalam wewe umesoma kitabu kipi ambacho kimekupatia ufahamu wa kujiona na wewe ni mchambuzi wa...
  10. Abu atiqah

    Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

    Sijaona mifano kutokana na hoja zako, zaidi ya kuanza kujitetea unayosema. Wewe elezea jinsi history ya uislam ilivyo na tupatie reference umesoma wapi???
  11. Abu atiqah

    Nimethibitisha jamii inayoongea Kiingereza ina uelewa mkubwa na IQ za juu kulinganisha na waongeaji wa Kiswahili

    Hiyo sio point kama umekaa uingereza utajua ninachosema. Issue ni genetics za makabira ambayo hawana uoga na wanaweza kuwakabiri viongozi tz tunao tena wa mpakani za hizo nchi
  12. Abu atiqah

    Erdogan azitaka nchi za kiislamu kuungana dhidi ya taifa la Israel

    The one who give u eyes and arms and mouth to talk whatever u want is Allah. So is ur choice to continue abuse or remain silent but remember everything is recorded and anything or any time Allah punishment is around to u, it's better to watch ur words
  13. Abu atiqah

    SoC04 Je, Tanzania tuitakayo ni ipi?

    Ni kweli hatuwezi kuwa na viwanda vyetu kutokana na mfumo wa elimu uliopo na pia Sera ambazo serikali imekalia kutawala. Mgeni anakaribishwa kufungua kiwanda cha magogo application procedure inakuwa sio ngumu kwake lakini mzawa akitaka kuwa na kiwanda cha magogo application procedures kwake...
  14. Abu atiqah

    SoC04 Tanzania tuitakayo itatimia na mfumo bora wa elimu

    China wanafundisha kwa vitendò sana kuliko maneno na mwanafunzi anaandaliwa kuwa mzalendo unadhani kwetu inawezekana au tufanye nini??
  15. Abu atiqah

    SoC04 Tanzania nchi yangu

    Tuanze bro maana serikali yetu kama kila mmoja akiwa mzalendo wa kweli inawezekana. Tuna madini ambayo dunia nzima inatuangalia sie kama nchi peke na tuna utalii wa kipekee pia why tusiweze. Leo wizara husika inatakiwa kutoa takwimu za mifugo sambamba na pesa ambazo zinatolewa kila mkoa...
Back
Top Bottom