Tafuta hela brother, ukiwa na pesa huwezi kupiga hizi kelele zote na viingereza fake fake badala yake utamsaidia mwenzio bila kuhisi maumivu, wanawake ni wenza wetu, wanatuliwaza, wanatushauri na zaidi wanatusitiri tukiwa na hamu zetu so ni lazima pia tuwajali na kuwahudumia, yani kweli...