Kwann na wewe uliweka spy software kwenye cm ya mkeo? Na uliweka ili iweje? Haya sasa ushagundua unashindwaje kuchukua maamuzi? Au ndio unaitangaza iyo spysoftware?
Wee hana uzuri wowote uyo anatafuta kick kama ilivyo wimbo wenyewe, na lingine wameogopa baada ya kuona post ya kibatala wakajua upinzani utazidi kujizolea sifa, wee jiulize waliomkamata unadhani amri ilitoka wapi? Utajua kumbe hawa wanatuchezea akili na Wanafanya mambo kwa kukurupuka na...
#nimeota kuanzia kesho mtu yeyote haturuhusiwa kupost wala kusoma habari yeyote ile kama hana cheti cha kuzaliwa, NB wanahabari je wafanye nn kuonyesha kuwa wakopamoja na nape ambaye alisimama kidete kuwatetea kwenye sakata la kunajisiwa kwa tasnia ya habar?
Unataka tundu avue Kofia ya ubunge pamoja na uanasiasa au unataka afanye kazi bila kuathiriwa na Kofia hizo? Kama ni kuzivua basi tungeanza na Jaji mutungi, mwakiembe, dpp, pamoja na mwanasheria mkuu maana hao ni makada wakubwa wa ccm lakini wapo kwenye sheria.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.