Recent content by Abraham Bwire

  1. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta msichana mwenye mapenzi ya kweli

    Jamani mi cna Mengi sana ila muhimu kwangu ni hili. Nahitaji kupenda na pia nahitaji kupendwa. Nina umri wa miaka 26. Ninaishi Geita mkabala GGM maeneo ya bomani nahitaji msichana/binti mwenye umri kati ya 18-22... Nitafurahi nikimpata anayeishi Geita plz. Dada uliye soma hapa na unahitaji kama...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Lwakatare aachiwa huru kisha kukamatwa hapo hapo kwa kosa lingine

    Thank you sir God
  3. A

    JamiiForums Tanzania Lwakatare aachiwa huru kisha kukamatwa hapo hapo kwa kosa lingine

    Chadema inateswa nakunyanyaswa. CCM yafanyeni tu haya ila jueni. Hamtatufumba macho ng'o!! Watz tunaona.... Chadema msihofu jipangeni2 wananchi tuko pamoja nanyi! "Amen"
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kikwete kawa muumini wa historia mpya Tanganyika?

    Kweli mkuu nimekupata ila minadhani wewe +kikwete+washauri wake. Mnapaswa kufanyiwa uchunguzi yakinifu nadhani mnamatatizo ya kufikiri....ni hilo2 mkuu....
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kuteswa kwa Kibanda: Ridhiwani na Nape matatani!

    Fine! Namimi niwakatiwangu wa kusema kitu....tulieni niseme, jamani mimi nimtanzania wakawaida kabisa tena wa maisha ya hali ya chini.... Kifupi hali inavyoonekana kwa sasa hakuna amani wala nafuu ktk tz.... Huyu RIDHIONE NA NDUGUYE NAPE siwa2 wakupigia kelele sana ili waelewe tunacho sema...
  6. A

    JamiiForums Tanzania John Mnyika, mbunge wa CHADEMA amefika London

    Hatua nzuri kwake
  7. A

    JamiiForums Tanzania Siri kubwa ya wanawake wengi kuwa hivi

    Cjui niwasaidieje!
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania bora iwe hivi

    Si kupongezi kwa mawazo yako! Nahisi pamoja na kuwa na degree moja, bado hujapata elim ya mapenz, hujui mapenz pole dada yangu. Kutolewa mapenzi nin!
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    sina upinzani nahoja zako. Hafu mtoa mada anaweza akawa ametumwa!
  10. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na harakati za nje kwa kutumia pesa za Watanzania masikini

    Sidhani kama kwamtu mwenye akili timamu itamsumbua kujua mapungufu uliyo nayo. Ningekuwa bungeni ingenilazimu kuomba mwongozo wa spika kukutaka utoe ushahidi. Labda niseme usiwe kama umevia akili.... Hoja yako siya msingi, ilatu unahitaji kusaidiwa ili ujenge hoja za kuiponda CDM kama lengo lako...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wakuchati naye.

    Sifa hizo zinalengj baadaye kupatamke bora. Nataka mchumba lakini kabla sijaingilia swala la uchumba nahitaji awe rafiki yangu kwanza 2fahamiane zaidi.....
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania hatujaonana lakin tunapendana!

    Doh! Haya mambo ya ajabu kweli! Kama unaskiaga wanatumikia wengine wanatumikiwa... Usiwd ka mbulula kaka. Ucjiamini kiasi hicho. Hawa wanawake huwa wanabadili uamuzi hatakama kesho nindoa.... Wewe endelea kutumikia2 kaka ila kumbuka. Kuniamwingine kama wewe anatumikiwa na huyohuyo dada...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Wachawi wa elimu yetu ni hawa

    Mi nadhani swala la maslahi ya walimu si muhim sana... Muhimu ni , maktaba, maabala nk... Na mi nadhani walim 2sipige kelele sana kuhusu maslahi yetu... Sisi ni wataalam bwana, hebu natujivunie utaalam wetu. Sikuzote mtaalam hasemi sana ili kueleweka. Sikwamba serikali haijui umuhimu na utaalam...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli,mrefu,mweusi na handsome asome hapa!

    Hellow dadaa, ninasifa zote, ila unaumri mkubwa sana. But don't mind utampata umpendaye. Mwenye sifa kama zangu unazozitaka.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wakuchati naye.

    Hakuna mengine zaidi ya kuchati. Kama kunalingine litakuja baada ya kuchati. Hivi vigezo si tija sana, lakini nivya muhimu... Sana.... Huyo wa miaka 29, naye anaweza kunitafuta kama ana muda wa kutosha kuchat...
Back
Top Bottom