Recent content by AbouZakariya

  1. AbouZakariya

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video: Anayejiita Superwoman akamatwa na mihadarati nchini Oman

    kina babu walisemaaaa......Siku ya kufa nyani miti yote hutelezaaaaaa!
  2. AbouZakariya

    JamiiForums Tanzania Mama yangu Raisi Samia Suluhu Hassan, waziri wa ulinzi pamoja na waziri wa miundombinu. Tumieni DK 5 tu kusoma hili juu ya SGR

    Naam wewe umetoa ufumbuzi hakika hii mbinu ikitumika inaweza saidia t
  3. AbouZakariya

    JamiiForums Tanzania Nishati Safi ya Kupikia, Mwarobaini tunao na ni Bora kuliko Gesi

    Siku wakigoma ghafla kutusuply gas tunakula vibichi.
  4. AbouZakariya

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya lugha na binadamu.

    Alama miongoni mwa alama za uwepo wake!
  5. AbouZakariya

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu ipi sahihi ya kuelezea siri au kitu kinachokusumbua kwa muda mfupi au muda mrefu?

    Mtu wa kumwambia siri yako ni nafsi yako, ongea na nafsi yako na ilazimishe itunxe hiyo siri kwa kuwa unaimudu nafsi yako
  6. AbouZakariya

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Kuna kitongoji kinaitwa mengo kisenyi hapohapo Kampala mjini kimekaa kama keko hivi ukiingia huko ni luswahili kwenda mbele kama uko mbagala
  7. AbouZakariya

    JamiiForums Tanzania Naombeni Dawa ya asthma/pumu

    Jani flani hivi zitozito, Just google leaf of life utaliona linapatikana sana mitaani
  8. AbouZakariya

    JamiiForums Tanzania Naombeni Dawa ya asthma/pumu

    Masai, siku nyingine ikikushika tumia kitunguu maji kamua juice yake kunywa au kama hapo karibu kuna jani la leaf of life litafune na mwenyeezi mungu akipenda utapata nafuu, nakuombea quick recovery
  9. AbouZakariya

    JamiiForums Tanzania Hii hapa sababu ya kisayansi kwanini IDEAS nyingi tunazipata ukiwa chooni au katika kuoga

    Mkuu hilo jambo nimekuwa nikijiuliza sana sana kwa kuwa hiyo ni tabia yangu ninapokuwa bafuni, nikiwa nakoga napata baadhi ya fumbuzi na pia ideas nyingine mpya.
  10. AbouZakariya

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Hizi Faida na Hasara za Kucheza au Kuziita Roho Zisizoonekana kwa kutumia ubao wa Oujia

    Mkuu hiki kitabu umemtajia cha zamani nadhani miaka ya themanini nilikiona yumkn uliyemtajia hakuwapo ulimwenguni miaka hiyo
  11. AbouZakariya

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje wanangu wawe na akili nyingi darasani

    Naaam navifaham, umenikumbusha ahsante.
  12. AbouZakariya

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje wanangu wawe na akili nyingi darasani

    Fundi manyumba wote au asilimia nyingi humu twataka hiyo njia je wote tuje pm, aaaah fundi
  13. AbouZakariya

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila umetuumbua wengi, tuliamini Dar es Salaam hutaiweza

    Hii inataka busara ya kiwango cha juu kabisa
Back
Top Bottom