Recent content by Abnockpasha

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

    Jamani mbishe msibishe ila iphone haiwez ikafananishwa na vitecno vyenu hivyo kwanza iphone zipo world wide sio kama vitecno ambavyo vipo africa. Halafu hata ukisearch google simu bora 2 za dunia ni iphone na samsung we unayesema techno ni simu ni wewe na makubaliono yako ya kutumia simu mbovu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

    Tecno hapana mimi always iphone
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tuongee kuhusu simu na shida zake wakati wa kutumia

    Haha ila iphone nyie acheni ukiachana na complication zake zote ila tunaenjoy sana kwanza lile tunda hapo nyuma linahamasisha sana
  4. A

    JamiiForums Tanzania Tuongee kuhusu simu na shida zake wakati wa kutumia

    [emoji23] Sent from my iPhone using JamiiForums
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tuongee kuhusu simu na shida zake wakati wa kutumia

    Yaani ni kwel kuhusu haya masimu ya iphone yaani dah mpaka kero Sent from my iPhone using JamiiForums
  6. A

    JamiiForums Tanzania Tuongee kuhusu simu na shida zake wakati wa kutumia

    Naanza mm kuhusu iphone Yaan iphone bhana simu ni yako lakini ukisahau passcode tu kwisha Pia haina mfumo mzuri wa music yaan eti hadi ununue duuh Pia haimpi mtumiaji upana wa kuchagua cha kufanya Kufail fingerprint ni kawaida
Back
Top Bottom