Recent content by Abneri

  1. A

    Baraza Kuu la UVCCM lamkataa Mizengo Kayanza Peter Pinda

    Mi nadhani viongozi safi ni wale ambao hawapo kusikika ktk makundi hao kn Edo...na pinda tayari iwe disqualification kuna watu wengi nchii wanaweza kuiongoza na ni maskini hawana fedha za kugawana.
  2. A

    Naomba kujua in and out juu ya huyu mnyama...

    nguruwe ni mfagio unaotembea anakula chochote tu hafai kuliwa. Hivi mnamaana Yesu aliharibu mboga za watu kwa kuzruhusia mapepo yaingue nguruwe? afu wewe unae quote "si kitu kimuingiacho..kimtiacho unajisi bali kimtokacho..." hujaelewa concept hapo ndo mn unashabikia hii kitu
  3. A

    IPTL kushusha bei ya umeme kutoka sh 450 hadi sh 80 kwa Uniti

    Itashuka tu uchaguzi umekaribia si.hta kwetu huku hua wanalaza nguzo za umeme uchguz ukikarbiaga
  4. A

    Abood Jumbe hali tete, alazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Mmh source plz kwa kina
  5. A

    China yaipiku USA na kuwa nchi yenye uchumi mkubwa duniani

    Huyo shabiki tu hivi anajua marekani anamiliki asilimia ngapi ya uchumi wa Dunia? Chinese are far back!!""""""""
  6. A

    Kinana akiri CCM inachukiwa sababu ya rushwa

    Ni kweli wapuuzi ndo mana chadema na wapinzani wengine wanapata umaarufu la cvyo hawana akili hizo uhai wao ni kuitukn ccm.
Back
Top Bottom