Recent content by Able man

  1. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Njia inayoweza kuondoa tatizo la mitaji na kuzalisha vijana wenye uchumi bora

    Shukrani sana,nimefanya hivyo pia ndugu.
  2. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kwanini mafanikio kupitia elimu yanaonekana kama mvua inyeshayo jangwani?

    Hongera kwa mada kubwa,nimenufaika
  3. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Njia inayoweza kuondoa tatizo la mitaji na kuzalisha vijana wenye uchumi bora

    Utangulizi Kama vijana tunakabiliwa na kupambana na changamoto nyingi zikiwemo kukosa ajira na mitaji. Kulingana na utafiti wa REPOA 2021 inakadiriwa kuwa vijana 800000 hadi 1000000 huingia kwenye soko la ajira kila mwaka na 50000 hadi 60000 pekee ndio hufanikiwa kupata ajira wakiwaacha wenzao...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Nimekupata mkuu, shukrani sana.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Nimeipenda aya ya 2 ila sijaelewa vema. Unaweza kunielekeza namna ya kufanya ukaguzi bora nipate kilicho Bora?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Shukrani mkuu.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Kodtek mkuu sio? Ni yoyote au baadhi?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Nimekupata mkuu. Wakati Extrovert anakuja nisaidie kujua kama kuna subwoofer inayokaribia angalau kiuwezo/ubora na HT? ( subwoofer nimemaanisha hz brand za kichina)
  9. A

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Unamaanisha mpya bajeti inaenda juu zaidi? Angalau kiasi inaongezeka kwenye bajeti yangu?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Kwa bajeti ya 300k naweza kupata HT nzuri?
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa na rafiki wa jinsia tofauti mliyeshibana sana?

    Abilities zipi labda
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa na rafiki wa jinsia tofauti mliyeshibana sana?

    Sana tu.
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa na rafiki wa jinsia tofauti mliyeshibana sana?

    Aisee huyu mtu niliwahi kuwa naye. Yani ilikuwa ni furaha kumwona na yeye kuniona. Kila linalonihusu wa Kwanza kujua yeye na vivyo hivo Kwa upande wake linalomtatiza lazima aje kupata Amani kwangu. Kuna wakati alikuwa akija analia lakini baada ya kuongea naye anatulia na kupata amani kabisa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji Rais Fyatu?

    Wabongo wa Jf bana! Mkikamatwa silaha ni matusi 😂😂! Sawa tafuta na mengine mapya uyaporomoshe hapa roho isuziiike ufurahi
  15. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji Rais Fyatu?

    Basi utakuwa hujijui! Kiongozi umpendekeze 2009 ukivutiwa na utendaji wake 2019 umkatae kwa nguvu zote Kwa utendaji ule ule...???!!! Wanaokutegemea nawahurumia! (kama wapo lakin)
Back
Top Bottom