Recent content by ablaam

  1. A

    JamiiForums Tanzania Natoa mafunzo ya kutengeneza incubator ya kienyej

    Mkuu habari...samahn unaweza ukatuma ata picha ya hzo incubator ya kienyej tuone ata inafananaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. A

    JamiiForums Tanzania Msaada shule nzur ya girls advance

    Habar zenu wadau...naomba mnisaidie shule za boarding a level either mixed au za girls tupu ambazo ada zake ni nafuu (yaan ada isiyozd 2.5 m au 3m) NB:mlengwa wa hyo shule ni dgo wa kike ana div 3.23 na ana credits za Histry,language,kiswahili na bios(masomo mengne ana d flat) na angependa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania mambo ya kutumia adress za vyoun kwa manunuz

    niaje asee...hivi taratib za kununua vi2 ebay au amazon na kuweka adress za chuo ili bidhaa yako waifikishe hapo(e.g udsm,ardhi etc) ni salama?na unaweza ukaipata bidhaa yako kweli au ni uduwanz tuuu?maana icije ikawa nshaliwa ela aseee
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    hngra mkuu..
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume Werevu na Wasomi waliobobea huoa wanawake wenye Elimu ya wastani?

    wengne husema ni kwa sabab wanawake wasomj hawajui mapenz maana wamespend part kubwa ya maisha yao kutafta excellence ya kimasomo na kuacha aspect zngne za kimaisha
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume Werevu na Wasomi waliobobea huoa wanawake wenye Elimu ya wastani?

    sumtymz ni kweli.... sumtymz
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nimetoa Bikra siamini

    jembe upo vzr
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ni chuo gani kizuri zaidi kwa Engineering Tanzania level ya Degree kwa course mama za Engineering

    mi nafkiri mkubwa ungekuwa specific huyo dogo wako anataka kusoma coz gan maana kutegemea na koz husika baadhi ya vyuo viko bora kuliko vingine....
Back
Top Bottom