Likifika VIRAL huenda tume ya Ajira na utumishi kwa Umma wakarekebisha suala la kuchelewesha sana kuita watu kazini ili kudumisha amani mioyoni mwa ma-jobseeker
Mimi nadhani, kwa watu ambao wamefanya usaili wa mazungumzo yaani oral interview suala la subira na ukomavu wa akili hasa kusubiria majibu linatakiwa sana maana apangae maisha ni mwenyezi Mungu unaweza ukadhamiria sana kazi kwa kuhusisha muonekano wa status majibu yakatoka ukapata matatizo...
Yaani mchawi pdf ila kuna uafadhali ikiwa selected for null.. maana ni wengi ninaowajua iliandika ivo na wakapata kazi wachache walikosa na nikutokana na ufinyu wa nafasi walizofanya oral interview
Sio guarantee kuwa ukiandikiwa selected for null (green label) kuwa lazima umepata kazi watu wapo wameandikiwa hivo na hawakupata kazi, nafasi zile za airport security officer II ninao ushahidi watu walijiandaa kabisa kwenda Dodoma na kujipa moyo lakini PDF imetoka,,, Hollaaaah!! 😭
Selected for oral inanguvu zaidi hasa ya website maana inakupa foresight ya interview (selected for null ya application ni moderator wa kile ulichokifanya oral interview maana inakutia moyo kabla placement haijawekwa hadharani) kwahiyo kuwa mpole yote kwa yote muombe sana Mungu wako kwa imani yako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.