Recent content by abinery

  1. A

    JamiiForums Tanzania Vibali vya ushamisho TAMISEMI

    Poa poa kaka
  2. A

    JamiiForums Tanzania Vibali vya ushamisho TAMISEMI

    Jamani naomba mniangalizie jina Abinery CHITUNGO maana nimeshindwa kuyapata katika mtandao
  3. A

    JamiiForums Tanzania Vibali vya ushamisho TAMISEMI

    Habari niliyoipata ni kwamba vibali vimeshatumwa kwenye halmashauri ila majina ndo yako njiani kuwekwa mtandaoni sasa ndo hapooo sijui wataweka lini?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi mwezi december 2014

    Naomba kuuliza jamani mwenye tetesi juu ya uhamisho Wa watumishi walioomba uhamisho Wa mwezi December ambapo watatakiwa kuanza kazi vituo vipya January kulingana na taratibu za TAMISEMI majina yao yatatoka lini?
  5. A

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Jamani naomba mwenye updates kuhusu uhamisho Wa mwezi December anipe info mana mpaka sasa sijui Niko njiapanda
  6. A

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Jombaaaa ruangwa wamwera hawataki kurudi mtu akionja raha za mjini anasahau vumbi la mbekenyera
  7. A

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo RUANGWA LINDI nije MOROGORO,DAR au PWANI halmashauri yoyote ksoro MAFIA idara msingi Mawasiliano ni 0717789853
  8. A

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo RUANGWA LINDI nije MOROGORO,DAR au PWANI halmashauri yoyote ksoro MAFIA MAWASILIANO 0717789853
Back
Top Bottom