Recent content by ABILITY_INK

  1. ABILITY_INK

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa OLAMS, Bodi ya Mikopo unagoma ku apply na siku zimebaki mbili tu

    Tunaomba mtufikishie suala hili kwa mamlaka husika. Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) awali ilitoa muda wa kufanya maombi hadi tarehe 7 Septemba, kisha ikaongeza muda huo hadi tarehe 14 Septemba. Hata hivyo, vyuo vingi vimetoa matokeo ya wanafunzi wanaoendelea wiki iliyopita na vingine...
  2. ABILITY_INK

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuamini kama huyu ni Mtanzania mpaka afanye kitu gani.?

    Huwezi kuamini kama huyu ni Mtanzania mpaka afanye kitu gani.?
  3. ABILITY_INK

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi tuma message ndefu yenye maumivu makali ukajibiwa " SAWA ". Ulichukuwa uamuzi gani?

    Ulishawahi tuma message ndefu yenye maumivu makali ukajibiwa " SAWA ". Ulichukuwa uamuzi gani?
  4. ABILITY_INK

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

  5. ABILITY_INK

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Kumekucha🙏🙏
  6. ABILITY_INK

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Amkeni kumekucha
  7. ABILITY_INK

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani umewahi kulifanya kwenye Mahusiano/Ndoa na umeapa kutorudia tena?

    Funguka. Ni kosa gani umewahi kulifanya kwenye Mahusiano/Ndoa na umeapa kutorudia tena?
  8. ABILITY_INK

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    @Ins Ikipatikana connection za kazi usisite kutushitua Fam.✍️🙏
  9. ABILITY_INK

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Aucho kaanza kukichafua katikati
  10. ABILITY_INK

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    Natafuta marafiki wa kubadirisha mawazo. Jinsia yeyote muhimu siwe talkative kupititiliza.
Back
Top Bottom