Recent content by Abiadha Massawe

  1. Abiadha Massawe

    Dr. Slaa, Watanzania tumechoka kuongopewa, leta ushahidi wa haya madai yako

    Aliyetoa hii post akajipange kwa Upya bado hawezi kutuaminisha Uongo maana na sisi hii maswala tunafuatilia kiundani, kuna vitu vingi ccm wamefanya sio hivo tu. Na Hakuna wa kumdanganya, acha kuiga Sera za Nape wewe.
  2. Abiadha Massawe

    Tahadhari kwa madereva wapya

    Nimeipenda somo hii ya driving, barikiwa Sana. Kungekuwa na jamii-pesa ningekucheki. Ila baraka za kuokoa familia na maisha ya watu ni zaidi ya pesa. Shukrani Sana maana ya nimesha experience hii kitu
  3. Abiadha Massawe

    Pamoja na udogo wake Nape Nnauye amerejesha nidhamu ndani ya CCM, Lowassa kaa chonjo

    Hivi haiwezekani kupost bila Mipasho? Kama tuko uswaz bhana
  4. Abiadha Massawe

    Zitto Kabwe, the Smartest Politician of our times!

    Yaani kutiririka kote huko wala hujaigusa nafsi yangu, kwani mtoto wa Warioba ni nani?? Anaangalia panapomfaa yeye. Huna tofauti na anaeshangaa mtoto wa waziri kupata 0 au 4. Kuwa kifikra
  5. Abiadha Massawe

    Mamia ya Waafrika wafukuzwa Afrika Kusini

    Huyu #Faizafox anataka jilipulia humu nini ??
  6. Abiadha Massawe

    Mamia ya Waafrika wafukuzwa Afrika Kusini

    Yale taliyotabiriwa yanazidi kuja kwa kasi! Udini, Ubinafsi, na Ukabila
  7. Abiadha Massawe

    Tundu lissu kuhusu filamu za ponografia

    Yaani Kama Una Ubongo mzuri na kudig mambo vizuri na kufuatilia hizi mada vizuri utamuelewa Ana maana gani
  8. Abiadha Massawe

    Bila Lissu Bungeni tungeburuzwa sana

    Kwa wenye ubongo wenye akili watamuelewa Lisu bali kwa wale wanaoteleza kwenye ganda la ndizi Kama wale Wa Ndio
  9. Abiadha Massawe

    Tundu Lissu: Filamu za Ponografia siyo kosa!

    @ Kibo 10 fuatilia vizuri acha kuwa Kama Wa ndio. Maana Kama hujui kusoma vile
  10. Abiadha Massawe

    Ni vizuri tukajua gharama za kuruka Live ITV masaa 3

    Yaani huyu #bombay ndo kichwa bichwa kabisa maana ya PAC ni nini au auditing maana kumbuka Zitto mwenyewe kazi yake ilikuwa kucheki matumizi. Sasa huyu mwanaharakati kafanya vizuri ni lazima tufanye overview ya hesabu yao
  11. Abiadha Massawe

    Ni vizuri tukajua gharama za kuruka Live ITV masaa 3

    ACT kweli wadhamini wao wakuu ccm na kweli tumeelewa kabwe ni msaliti ambae Ana Mamluki
Back
Top Bottom