Recent content by abguy

  1. A

    Bachelor of education in policy, planning and management

    Bachelor of Education policy and management (BED PM) NILISIMAGA MIAKA KADHAA ILIOPITA OUT
  2. A

    Wamalaba ni nani?

    Wanakaba ni jamii ya wamakonde ambao wanaishi kandokando na bahari ya Hindi wakiwa na utofauti kidogo wa lugha na wamakonde wa bara kwani wao maneno mengi uchanganya na maneno ya kiswahili &kiarabu kutokana na muingiliano na wageni toka nje ya Afrika mashariki. Wamakaba wanapatikana sana maeneo...
  3. A

    Mke wangu mzunguko wake wa hedhi hauko sawa

    Mke wangu anatatizo la kukosa hedhi kwa muda mrefu yaani uchukua miezi 3 Hadi minne na akianza kupata tumbo chini ya kitovu lina muuma kupita kiasi na wakati mwingine hedhi yake uambatana na mabonge na damu nyeusi nimejaribu kwenda hospital kadhaa lakini tatizo halijapatiwa ufumbuzi huu ni mwaka...
Back
Top Bottom