Recent content by abelkevela

  1. abelkevela

    JamiiForums Tanzania LIVE: Tanzania Primier League (TPL)... Simba SC dhidi ya Kagera Sugar moja kwa moja kutokea uwanja wa Uhuru, Dar es salaam.

    Huyu jamaa yuko sahihi sana. Kiukwel nimeumia sana na goli lile la kizembe mnooo.
  2. abelkevela

    JamiiForums Tanzania TARURA na Yono auction mart wanataka kutudhulumu sisi wakusanyaji wa ushuru hapa Mbeya Mjini

    Habar ecolizer baba, umefikisha ujumbe lakini c vizur kutumia neno Yono wanatudhulumu kama ukiwa hauna uhakika na jambo unalotuhumu, malipo bado mpaka sasa? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. abelkevela

    JamiiForums Tanzania 'Wakamataji' wa kituo cha mwendokasi Msimbazi

    Mr Frank. Punguza jazba jifunze kusikiliza/somo mada vizur kisha chingia. Aliyeleta mada hii humu ndan nimemjibu kwakua nimehisi hana uhakika na kile alichokiandika. Narudia tena Yono hatujawah kukamata pikipiki kama mdau alivyoandika na ww kuendelea kuchangia jambo ambalo si la kwel. Embu...
  4. abelkevela

    JamiiForums Tanzania 'Wakamataji' wa kituo cha mwendokasi Msimbazi

    Habar mkuu.. Naamin ww ni mtu makin sana mpaka ukaandika ujumbe huu ila ni vizur kufunya utafit vizur kabla hujaweka jambo kama hili kwenye social media. Ujumbe huu unapotosha umma na kuchafua majina ya watu. Yono hajawah kufanya kaz hiyo ila kuna watu wanatumia jina la Yono kufanya mambo ya...
  5. abelkevela

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimekuelewa mkuu..
  6. abelkevela

    JamiiForums Tanzania Michael Joseph Mbuza, ajitokeza kuwania Ubunge wa Mbeya Mjini

    Wadau mnaoponda..mnatakiwa kutoa hata kasoro mnazoona zinaweza kuwa changamoto kwa Mbunge wetu mtarajiwa Mh.Mbuza, ili Mh. ajipange siyo maneno ya kukatisha tamaa..Imani yangu inanituma MH. Mtarajiwa anauwezo tena kuliko hata ww unayepost pumba bila lion yeah a mchango wowote..let's be optimist...
  7. abelkevela

    JamiiForums Tanzania Hivi Lowassa asipoteuliwa kugombea itakuwaje?

    Jaman kwa mawazo yangu nafkir tusiwe na mawazo mgando..kila kiongoz anafaa kwa muda wake that means Mh. Lowassa nafkir anafaa kwa kipind tunacho kiingia..ni mawazo yangu naomba msinitafakar vibaya.
  8. abelkevela

    JamiiForums Tanzania John Nyerere kuagwa leo, Msasani

    R.I.P John Nyerere
  9. abelkevela

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Uhakika hapo.
  10. abelkevela

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Asante,mtoto wa inzi..mfano kama mzigo huu
  11. abelkevela

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau naomba nisaidie kwenye huu mzigo wa bet of the day naona wanatumia 10, 6 ,8, 9...cjaelewa wadau wanamaanisha nn..naomba ufafanuz anayejua.
Back
Top Bottom