Recent content by Abelian

  1. A

    Ujio wa viber na whatsapp hasara kwa telecos?

    sure kibongo bongo badaye sana
  2. A

    Kwa wale wa UDSM

    mmh majanga ya REMOTE SENSITIVE
  3. A

    ZIJUE 100 Keyboard Shortcuts

    nyie bishananenu tu sisi tunaendelea kumeza desa
  4. A

    Msaada juu ya samsung galaxy s2

    duuh unamaswali mengi kwani we ni polisi
  5. A

    Form V

    kama ulijaza anuani ya shule basi mpigie simu headmaster wa shule ulionalizia atakupa maelezo kuhusu shule uliopangiwa
  6. A

    Mwenye taarifa kuhusu lini mwaka wa kwanza kuripot vyuoni

    mpaka utavuna mpunga tena ndo cha five utaenda
  7. A

    Form five majina yashatumwa mtapata joining instructions wiki ijayo

    kwa form five hata mwenyewe nimeshudia shule fulani second master anaandika address za wanafunzi
  8. A

    Form five selections ni lini wana jamii?

    hapa naona second master wa shule fulani jina kapuni ndo anaandika address kwenye join instructions
  9. A

    Hivi ni kweli Form six wanaanza masomo bila wadogo zao

    selection tayari tembelea sanduku la posta shule zilishaanza kuwapositia .Nina uhakika ninacho kisema maana nimeshudia kwa macho yangu join instructions zikijazwa majina but this time wa mbeya unakuta kapangwa Tanga
  10. A

    Selection form V wakuu wa shule wachinjiwa baharini

    ni true mfano niliangalia list Mkoa wa Tabora walikuwa 2 tu
  11. A

    Najuta kuchelewa kuijua ANDROID

    huko kwingine mbwembwe tu samsung galaxy note II GT N7100 ile ni sayari nyingine ...nahc kama napata raha na mrembo ndani ya swimming pool
  12. A

    Form V

    muulize headmaster yoyote atakupa majibu..si utani kikubwa nilitaka mjue selection zipo poa but wasi wasi wangu kwanini wameyapeleka mashuleni bila hata kuyaweka kwenye net Ukitaka ..nisije ng'olewa kucha mie
  13. A

    Form V

    kumbe majina ya wanafunzi watakaojiunga cha tano tayari yapo mashuleni source mkuu wa shule moja kanionyesha live bila chenga
  14. A

    Samsung galaxy note II

    mie ilivyogoma laini kuingia nikajua changa la macho nikaitupia stoo watoto wachezee kumbe usiolijua ni sawa na usiku wa bila mbalamwezi
  15. A

    Jamani jamani harufu za midomo yetu ni kero kwenye 6x6

    loweka magome ya mzambarao/u then safishia meno
Back
Top Bottom