Recent content by Abel Pangamawe

  1. A

    Napenda kuwa mtangazaji

    Hongera kwa kufanya maamuzi ya kuwa mtangazaji, sipendi kujua zaidi malengo yako kama wengine wanavyosema unataka kwa maslahi ofcourse siyo mbaya kama utataka kwa ajili ya maslahi ila nakushauri kutafuta vyuo vinavyotoa mafunzo hayo ili kufanikisha ndoto yako. kwa more information unaweza...
  2. A

    Mheshimiwa Engineer Samawati Mbunge!

    Acha kuseme eti waafrika ndivyo tulivyo inamaana na wewe uko hivyo wengine hatuko hivyo huyo waziri hakuwa na mengi ya kusema akaamua kutumia muda mwingi tu pengine alitaka kukwepa maswali kutoka kwa wabunge hasa yale ya kuhusu bajaji za kubebea mama zetu wajawazito kama lilivyokuwa hot siku hiyo.
  3. A

    GE2010 Idadi ya wanachama CHADEMA yapaa

    Reserching is better inaweza kukupa walau kapicha lakini hii ya kufikiri tu si sahihi sana na vijana wengi wa tanzania ni washabiki tu tena wa muda mfupi sio committed sana kama mataifa mengine that is why tunachelewa kuleta mabadiliko. thank you for dedication time spared on it.
  4. A

    How to use JamiiForums effectively

    Hilo suala kwa sasa linaongezeka kwa kasi mno pengine ni kwasababu watu wengi wanakimbia kwenye dini kwa ajili ya mambo yao binafsi kama vile kutaka pesa, sifa au kinga katika mambo fulani fulani kwa serikali na umma hasa ya waumini wake na si wito kama inavyopasa kuwa. Kuna haja ya serikali...
Back
Top Bottom