Recent content by Abel Ndundulu

  1. A

    Kwa hiyo Chadema imebakia na kiongozi mmoja tu Heche sio?

    Kwa kawaida binadamu hutoa uchafu kwa njia ya mdomo (Kupumua), kwa njia ya haja kubwa (Konya ama kujamba), kwa njia ya vinyweleo (Jasho) na kwa njia ya haja ndogo (Kukojoa). . . What if anatokea kiumbe anayetumia kila njia kuzuia binadamu huyu asitoe uchafu kwa njia yeyote? . . Pua tumezitia...
  2. A

    Unataka Kujua Jinsi ya Kuishi na watu wenye Personality ngumu?

    Mkuu naomba nitumie abeliskal@gmail.com
  3. A

    Nimejipanga kumshitaki Mwajiri wangu CMA

    1.Una muda gani tokea uache kazi? Kama ni zaidi ya siku 30 unahitaji kufungia kesi kwa msingi wa dharura ukiwa na ushahidi. 2. Je una mkataba? Unasemaje kuhusu kuvunja mkataba? 3. Je kulikuwa na chama cha wafanyakazi na je kilishakubaliana na Mwajiri kuhusu kucheleweshwa kwa mishahara? 4. Una...
  4. A

    Jirani yangu anatoka nje akiwa kavaa boksa tu (nguo ya ndani )

    Kwenye nyumba za kupanga za jumuiya kuna mengi sana na hakika huwezi kuyatatua kwa amani. Suluhisho ni kupanga nyumba inayojitegemea ama kuishi nyumbani kwako mwenyewe! Utakuja kufa kwa pressure na sukari kwa sababu ya tabia za watu na dunia tayari ni tambara bovu.
  5. A

    Ndugu yangu kakamatwa kwa simu ya wizi, Nawasihi sana tuchukue tahadhari tunaponunua simu 'used'

    Rafiki yangu mmoja yupo jela baada ya kuhukumiwa miaka 30 tokea 2020. Alinunua simu ambayo baada tu ya kuanza kuitumia ilikuja kufahamika iliporwa pamoja na vitu vingine na wakati wa uporaji mwenye mali alipigwa na kufariki wiki moja baadae. Bahati mbaya sana hakumfahamu vyema aliyemuuzia maana...
  6. A

    Baba yangu mzazi amepangisha chumba changu

    Mkuu, unaweza kunipa namba za huyu mzazi nimpongeze kwa hatua aliyochukua? 1. Miaka 48 unataka kustaafia kwenye nyumba ya baba, huu ni upumbavu; 2. Hata wanyama na ndege hufukuza watoto/makinda yao yanapofikia umri wa kujitegemea; 3. Rudi mtaani ukapambane
  7. A

    Kibaha: Mwanafunzi atoroka nyumbani tangu August 18,2023. Inadaiwa kaenda kwa mpenzi wake

    Tunavuna ''mavuno" yatokanayo na mbegu tulizopanda enzi hizi za kidigitali. Kizazi hiki kimedekezwa vya kutosha na wazazi hasa wale waliolelewa na "House girls" na "Single mothers". Enzi zetu huyu angekula kipigo kitakatifu na akitudi ni kipigo cha jehanamu
  8. A

    Wananchi Chato walia Ukata, Wasema toka Magufuli afariki hakuna wageni wanaokuja kuchangamsha biashara

    Ni vyema Serikali ielekeze warsha,seminar, mikutano mikubwa ya CCM na Serikali huko Chato!! Hii itasaidia kuondoa sononi kwa wana Chato.
  9. A

    Kwanini Wanafunzi wakipanda Bus binafsi kwenda shule wanalipa 200; lakini kwenye maonesho ya serikali sabasaba wanalipishwa 1500

    Kwa maoni yangu nauli za daladala na mwendokasi ziwe flat rate tu. Maana hawana adabu. Mtu mzima unapanda unakosa siti mwanafunzi amekaa amekukazia macho tu. What for?
  10. A

    Wabongo wengi wanapenda sana kudandia vitu visivyokuwa na maana. Rejea Wanafunzi wapya wa MNH

    Ni utani na comedy tu. Nchi hii ukiwa serious muda wote na mambo ya "DP World ama"Bunge" dhaifu unaweza kufa kwa stress!!
  11. A

    Fanya haya endapo basi ulilomo ghafla linaanza kupinduka…

    Abiria wa kwenye gari lilipata ajali wengi ni waongo. Yumkini husimulia waliyopata kusimuliwa na mashuhuda ama hujitungia stori zao za uongo na kweli.
  12. A

    Ni kisa au mkasa gani uliwahi kufanyiwa na ndugu au mtu wako wa karibu?

    Jina langu linatosha kukueleza nini ndugu walinifanyia kwa mujibu wa Biblia Takatifu. Kumbuka tu Kaini alimuua ndugu yake Abel kutokana na wivu. Sadaka ya Abel ilikubalika na ya Kaini ikakataliwa. Kwa ufupi maisha kwangu yamekuwa ya misukosuko kutoka kwa ndugu wa karibu.
  13. A

    Malalamiko ya magari ya Mwendokasi kwenda kwa kasi Kariakoo bila kujali kuna idadi kubwa ya watu

    Ifike wakati sasa tujue Dar es Salaam imeendelea sana ukilinganisha na miaka 20 iliyopita. Hivyo wageni wanapokuja Dar es Salaam wapewe semina na wanafamilia jinsi ya kutumia barabara za juu na chini na namna ya kuvuka maeneo ya barabara za Mwendokasi. Ni lazima tubadilike kulingana na...
Back
Top Bottom