Recent content by ABEL MAGEMBE LUGIMBA

  1. ABEL MAGEMBE LUGIMBA

    JamiiForums Tanzania Dr. Mashinji mpaka sasa ndio Katibu Mkuu bora wa chama cha siasa nchini

    Majipu yanatetea majipu menzao
  2. ABEL MAGEMBE LUGIMBA

    JamiiForums Tanzania Kama haya Mauaji ni kweli, Waziri Mwigulu, na IGP Mangu Walipaswa Kutumbuliwa Tangu Ile Ile Jana!

    Serikali ishughulikie mapema jambo hili maana no one who is above the law.
  3. ABEL MAGEMBE LUGIMBA

    JamiiForums Tanzania Lipumba: Sipingani na Katibu Mkuu, Kamati ya muda ni batili

    Lipumba ni Jembe la Ukawa na CUF
  4. ABEL MAGEMBE LUGIMBA

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Hahahaha!!!
  5. ABEL MAGEMBE LUGIMBA

    JamiiForums Tanzania Maigizo ya serikali kuhusu uhakiki wa watumishi hewa, yatakwisha lini?

    SERIKALI IACHE KUFANYA MAIGIZO ISITUMIE SUALA LA UHAKIKI WA WATUMISHI HEWA KUPORA NA KUMINYA HAKI ZA WATUMISHI WA UMMA. Natambua umhimu wa zoezi la uhakiki wa Watumishi hewa lakini ninachokipinga ni serikali kutumia sababu hii kupindisha haki za watumishi wa umma. Haingii akilini kila zoezi...
  6. ABEL MAGEMBE LUGIMBA

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    OMBI LANGU KWA MHESHIMIWA RAIS WETU DKT MAGUFULI KUHUSU MIKATABA MIBOVU YA MADINI. Kwanza napenda kumpongeza sana Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa Dkt John Pombe Magufuli kwa kazi nzito na kubwa ya kufumua mfumo aliokuta na kutengeneza mfumo mpya unaoendana na matakwa yetu wananchi ya muda mrefu...
  7. ABEL MAGEMBE LUGIMBA

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tetemeko halijaletwa na Serikali, watu wafanye kazi

    Well said Mr President
  8. ABEL MAGEMBE LUGIMBA

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba: Sasa nitafia kwenye siasa!

    Good Ideas Comrade Cyprian Musiba
  9. ABEL MAGEMBE LUGIMBA

    JamiiForums Tanzania Tumaini jipya kuhusu ajira kwa walimu wa masomo ya sanaa (arts)

    Poleni sana walimu wa arts
  10. ABEL MAGEMBE LUGIMBA

    JamiiForums Tanzania Huu mpango wa Serikali ni hatari sana kwa sababu unakwenda kuua ubora wa elimu yetu

    Ualimu ni taaluma kama zilivyo taaluma zingine, kama tutaka kuboresha elimu yetu tuache kuifanya taaluma ya ualimu kama ni jalala.
  11. ABEL MAGEMBE LUGIMBA

    JamiiForums Tanzania Huu mpango wa Serikali ni hatari sana kwa sababu unakwenda kuua ubora wa elimu yetu

    Karibuni sana wadau wa JamiiForums kwa mjadala.
  12. ABEL MAGEMBE LUGIMBA

    JamiiForums Tanzania Huu mpango wa Serikali ni hatari sana kwa sababu unakwenda kuua ubora wa elimu yetu

    Haya ni maoni yangu binafsi kuhusu mpango mpya wa serikali wa kukabiliana na tatizo la uhaba wa walimu wa sayansi uliotangazwa na Suleiman Jaffo Naibu Waziri wa TAMISEMI. Kwanza ninaomba watu waelewe ya kwamba Ualimu ni taaluma kama zilivyo taaluma zingine, hivyo basi ninawaomba sana wanasiasa...
Back
Top Bottom