Nakushauri kabla ya kuandika mwone mchungaji ambaye ana uelewa wa kutosha wa theolojia atafsiri Hilo andiko. Kwa lugha ya kitheolojia huwa tunaita huko na kulishwa matango. Si afiki wanaofanya huduma kwa masilahi yao binafsi, ila Hilo andiko litumike vizuri. Lakini pia utafiti ufanyike vya...
Hii Ni kweli, kukawa na kipindi Cha mikingamo redio Tanzania. Ila Ni waziri mkuu aliyependwa kuliko wote. Warioba ndiye aliyekuwa waziri wa sheria na mwanasheria mkuu wa Serikali, alichukua jukumu gani kwa sheria zile? Angejiuzulu ningemwelewa
Position ya Sasa yamkini inampa nafasi aonekana Kama mzalendo. More awe katibu mkuu we wizara anashikia kasma. Nafasi ya RC pia Hana access na fungu maana yeye si accounting officer. Ila kwa ajili utafiti uliofanya tunashukuru kwa uzalendo wake
Let us reason wise, Nairobi is business center, who much the country bis losing? Hao vijana sidhani Ni mtizamo sahihi kuufuata, Mtwara wkt wa gesi tuliona madhara yake, tusifike huko
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.