Recent content by Abdulmalik Ngunde

  1. A

    JamiiForums Tanzania UN wamuhoji Waziri wa Mambo ya Nje juu ya suala la Zanzibar

    Hakuna amani itakayo ondoka bali itaongezeka kwa kua raia wamepata wanacho taka na siku zote amani huvunjwa na watawala na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kisingizio cha uchochezi, lkn ukweli uukidhiri uongo hijitenga wa Zanzibari waachiwe na muache kuendeleza kauli ya lukuvi eti wa Zanzibari...
  2. A

    JamiiForums Tanzania UN wamuhoji Waziri wa Mambo ya Nje juu ya suala la Zanzibar

    Lawama zote ziende kwa chama cha ccm na viongozi wake ambao ni waroho wa madaraka wanao taka wakae madarakani maisha tena kwa nguvu hata pale wasipo kubalika, matokeo yake ndo hayo wanabakia kufanya ujasusi kutaka kukifuta chama cha cuf kwa sababu ya kuipigania haki ya wa Zanzibari. Jee seif...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Hivi kiongozi wa nchi anakuwaje comfortable kama halipi kodi?

    Ufisadi ni itikadi ya ccm
  4. A

    JamiiForums Tanzania Rais akikosolewa ndani ya chama "anawapoteza",nje ya chama "anawashughulikia"bila huruma,serikalini

    Sio vibaya mtu kwa Imani yake kukipenda anacho Kiamini hata sanam au punda wee amini tu lkn kuwafanya wengine wasifanye mikutano hata ya ndani wewe ni miongini mwa waja waovu hata upendwe na kadamnasi sio upendo wa kweli ni sawa na nidham ya woga tu
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Maalim Seif wafanya kituko kingine cha kisiasa hadharani!

    Mwenye wivu ajinyonge kwa sababu Mhe. Mbowe hawapotezi watu kama yule alie sema angelikua yeye angewapotezea tafakari nani nyumbu hapo?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Rais akikosolewa ndani ya chama "anawapoteza",nje ya chama "anawashughulikia"bila huruma,serikalini

    Kuwafunga wasionekane tena au kuwaua kabisaa
  7. A

    JamiiForums Tanzania Rais akikosolewa ndani ya chama "anawapoteza",nje ya chama "anawashughulikia"bila huruma,serikalini

    Nakubali saaana kwani yeye ni kubwa la maadui
  8. A

    JamiiForums Tanzania Rais akikosolewa ndani ya chama "anawapoteza",nje ya chama "anawashughulikia"bila huruma,serikalini

    Ha ha ha ha ha ha ha ha hajitambui jamani
  9. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

    Hongera sanaaaa mchapa kazi tu
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Maalim Seif wafanya kituko kingine cha kisiasa hadharani!

    Watu wa namna yako kwa kwa uzoefu wangu huwa ni makuadi wa ccm na pia huwa wapiga chabo majumbani mwa watu
  11. A

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya Uhuru Umezidi Mipaka

    Ww ni miongoni mwa. Madikteta uchwara uchwara
  12. A

    JamiiForums Tanzania Rais akikosolewa ndani ya chama "anawapoteza",nje ya chama "anawashughulikia"bila huruma,serikalini

    Ukweli Sasa ni zamu ya chinja chinja tu namie naamini kwa nini nyerere aliwanyima wasukuma kuongoza nchi kumbe ni kwa sababu hiyo, ni kweli nyerere alizuia demokrasia lakini alifanya vizuri kuwafanya wasukuma wasiwe Rais
  13. A

    JamiiForums Tanzania Hapa Kazi Tu: Msemo uliopoteza soko na haupo tena vinywani mwa wana CCM

    Umesema kweli ndg ndg yangu tena mwache aanzishe mada nyengine kama kuhamia dodoma na kupiga marufuku maandamano na mikutano ya vyama vingine
Back
Top Bottom