Recent content by Abdullahaman

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi Kalenga Iringa , Chadema mjipange zaidi.

    Acha wagawe pesa, Kalenga siyo dom au Kongwa, Mkoa wa Iringa ni waelewa, hata ikiwa kijijini wanahiyari, si watu wa kununuliwa kwa kilo ya sukari
  2. A

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete, mbona umeamua kuangamiza Taifa? - LEMA

    Jamani nilisoma habari hizi na kutaka kuzirai baada ya kuisoma, sikuamini kama maneno haya yametoka kinywani mwa kiongozi wa taifa ambalo lina ndoto ya utulivu milele. Hivi Mh. hajui kwamba wauaji wakubwa ni ccm wakiwatumia polisi? Kifo cha mwandishi Mwangosi kule Nyororo Mufindi hakukisikia...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Lowasa asingekuwa chama cha mauaji tungempima, lakini kwakuwa yupo huko lete mwingine wa kumlinganisha na JEMBE Dr. Slaa
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Ripoti iliyowang'oa mawaziri (Ripoti ya Lembeli)

    Jamani kinachoonekana siyo mawaziri, ni Rais na wateule wake; wakurugenzi na makatibu wakuu wa wizara husika, kilichotakiwa ni Rais kuachia ngazi kwakuwa wateule wake waliwafanyia kiburi mawaziri na hakuwaajibisha
  5. A

    JamiiForums Tanzania Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

    Yataisha tu
Back
Top Bottom