Recent content by Abdull Kazi

  1. Abdull Kazi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira: Kulikuwa na mfumo 'kompyuta mpakato' wa kuchukua Takwimu za kura

    Ikiwa huo ndiyo mtazamo na Imani ya viongozi wetu kuwa kulikuwa na mipango,mipango ikafanyika Mpaka ikafanikiwa Kwa watu kuandamana na kuleta madhara bila vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kugundua basi ninashauri,mkuu wa Idara ya Usalama,Igp na Baraza zima la uslama livunjwe na tuanze upya...
  2. Abdull Kazi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma: Mahakama Kuu yaipa Serikali Siku Tano Kujibu Kesi ya ACT Wazalendo Dhidi ya INEC

    Mbwa akikaribia kufa hasikii harufu ndiyo sawa na Buyobe sasa keshapoteza thamani ya stori zake za magumashi ameamua kuwa kama Mwamakula kutafuta uungwaji mkono kwa Kuinasibisha ACT na Chama tawala
  3. Abdull Kazi

    JamiiForums Tanzania DC Msando anajaribu kutaka kuwa Mungu wa Ubungo!? Anataka kuwa kama Sabaya wa wilaya ya Hai! Msando anahisi atakuwa kiongozi milele yote

    Hoja ya kijinga kabisa hii kwani kama suala ni kuabudu si wafanye Ibada hiyo majumbani mwao waone kama watafuatwa? Msando yupo Ubungo hao waumini wapo maeneo mbali mbali nchini na wamezuiwa je na huko ni nguvu ya Msando? Kajifunzeni kumtafuta Mungu na utukufu wake badala ya kutafuta umaarufu...
  4. Abdull Kazi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi ndivyo Ulega anavyojiandaa kuishika Pwani Kisiasa

    Baba yake ni mjumbe Mkutano mkuu Wilaya, Dada yake Ulega ni katibu Malezi kata kupitia Jumuia ya wazazi na Mtoto wa dada yake ni Katibu wa UVCCM. Mke wake anautaka Ubunge wa viti maalum Pwani akitokea Mkuranga na tayari ameshachukua fomu. Yeye Mwenyewe Ulega anautakaa Ubunge wa Mkuranga na...
  5. Abdull Kazi

    JamiiForums Tanzania Mnaomshambulia Abbas Tarimba, anajua uchungu wa mwana kuliko nyie, alishawahi kupoteza watoto wawili kwa mpigo

    Walipotea kwa kutekwa ama kwa maradhi? Kutekwa na kupotezwa ni tofauti na kifo cha Mtu anayeumwa
  6. Abdull Kazi

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Chanika inasubiri hisani ya Dkt. Philip Mpango?

    Sisi wakazi wa Chanika kwa sasa tunapata taabu Sana kwa barabara yetu Kutokea Kona ya Pugu kuelekea Chanika. Barabara hii ilikuwa inaangaliwa mara kwa mara wakati Makamu wa Rais alipokuwa akipita mara kwa mara kwenda kuangalia familia yake. Kwa sasa kiongozi huyo hapiti na hakuna matengenezo...
  7. Abdull Kazi

    JamiiForums Tanzania Nimefurahi marekebisho yamefanyika

    Juzi nilipost hapa namna akaunti binafsi ya Rais wa Zanzibar kwenye Chanel ya WhatsApp,inavyotoa taarifa yake kama na yeye anaripoti badala ya kueleza kile alichofanya Baada ya hapo nimeona kuna mabadiliko makubwa na sasa akaunti inaripoti vizuri na msemaji anaona ni taarifa ya moja kwa moja...
  8. Abdull Kazi

    JamiiForums Tanzania Kuna Makosa kwenye chaneli ya WhatsApp ya Rais Mwinyi

    Nimekuwa mfuatiliaji wa taarifa za viongozi wanazoweka katika kurasa zao binafsi za kwenye Chanel za WhatsApp. Hizi kurasa ni mbali na zile zinazotangaza kazi rasmi za ofisi zao. Naomba nitoe mfano wa kurasa hizo na baadhi ya viongozi kabla sijaeleza Makosa ninayokusudia yarekebishwe. Kwenye...
  9. Abdull Kazi

    JamiiForums Tanzania Ukinunua nguo za ndani au taulo dukani yafaa kuanza kutumia au ufue kwanza kabla ya matumizi?

    Mimi kama ni mtumba huwa ninaqngalia mifukoni kama wameacha madola
  10. Abdull Kazi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dar: Abdul Nondo atekwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

    Kwa maelezo ya mtu aliyeshuhudia tendo Hilo lilifanyika Kwa haraka na aliposogea kuhoji ndipo walipoondoka eneo Hilo na kuiacha pingu iliyokabidhiwa kituo Cha Polisi Magufuli.Aidha gari la watekaji limetambuliwa Kwa namba zake na walioshuhudia ni Landcruise Nyeupe Kwa sasa utaratibu wa kumjua...
  11. Abdull Kazi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dar: Abdul Nondo atekwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

    Mwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi. Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma yake haijulikani mpaka wakati huu ==== UPDATE JamiiForums imewasiliana na Naibu Katibu wa Habari na...
  12. Abdull Kazi

    JamiiForums Tanzania Matrafiki wana roho mtakatifu wao

    Roho mtakatifu hamilikiwi mnaposema na kunasibisha naa ukristo ni ukosefu wa maarifa na shida ya kukariri bila kufikiri poleni sana
  13. Abdull Kazi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Modi apewa tuzo ya juu ya heshima ya Uraia Urusi

    Waziri Mkuu Narendra Modi amekabidhiwa rasmi Nishani ya Mtakatifu Andrew Mtume wa Kwanza-Kuitwa, tuzo ya juu zaidi ya kiraia ya Urusi, katika Ukumbi wa St Catherine wa Kremlin ya Moscow Jumanne. Tuzo hiyo ilitolewa kwa Waziri Mkuu Narendra Modi mwaka 2019 na jana Julai 9 alikabidhiwa rasmi na...
  14. Abdull Kazi

    JamiiForums Tanzania India inaongoza mkutano wake wa kwanza kama Mwenyekiti wa Mchakato wa Colombo

    India imeendesha mkutano wake wa kwanza kama Mwenyekiti wa Mchakato wa Colombo katika Mkutano wa mwakilishi wa Kudumu wa ngazi ya Shirika la Uhamiaji wa Kimataifa (IOM) makao makuu yaliyoko Geneva. Muktesh Pardeshi, Katibu (Konsulari, anayeshughulika na Pasipoti, Visa na Masuala ya Wahindi...
  15. Abdull Kazi

    JamiiForums Tanzania India, Bangladesh Announce New Train, Bus Services During PM Sheikh Hasina's Visit

    New Delhi Prime Minister Narendra Modi and his Bangladesh counterpart Sheikh Hasina on Saturday articulated their shared vision for peace, prosperity and development of the two neighbours and the entire region driven by connectivity, commerce and collaboration Significant agreements...
Back
Top Bottom