Recent content by Abdulkarim kasira

  1. A

    JamiiForums Tanzania Twendeni tukamuage, tukamzike kamanda Mawazo

    RIP kamanda
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Vyama vya Upinzani vifutwe, kibaki CCM pekee kama chama dola

    Dunia vichaa wapo jamani. Vyama vifutwe kibaki ccm. Huu ufisadi wanofanya wabaki peke yao si tutauzwa utumwani tena. Maccm waweke hela mfukoni
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kila nikiikumbuka ESCROW siitaki kuisikia CCM!

    Kusema sio kutenda. Maguguli mwenyewe fisadi. Viongozi mafisadi ndio wanampigia debe aingiie ikulu. Atamuuliza Mkapa vp alijimilisha Kiwira?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu!

    Hatuna haja ya mambo yake binafsi. Ss tunatizama mtu analifanyia au atalifanyinini Taifa. Hizo hbr zake ww kaanazo mweleze mkeo
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Sherehe za Kilele cha mbio za Mwenge, Rais Kikwete ahutubia

    Mwacheni akapumzike. Team ya Ukawa iende ikulu hana jipya
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Lowassa Geita Jimbo la Busanda, Wazee wamsimika Lowassa Uchifu wa Wasukuma

    Kuna mijitu mifala sana. Unasema watu wamenyeshwa viroba . Hii nikukashifu watanzania wenzako. Km wao niwakynywa viroba nani kawafikisha hapo km si ma ccm. Uchumi wao ungekuwa mzuri wangekunywa bia. Ndio maana tunataka mabadiliko.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Wachumi tuambieni, ahadi za Lowassa ndani ya siku 100 zinatekelezekaje?

    Wewe hushangai Magufuli akisema awamu yake ni ya viwanda. Wakati hata umeme hakuna? Nadhani umejibiwa kubana matumizi yasiyo ya lazima. Na kukusanya kodi pesa ipo.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Natoa rai: Kila anayesema ana PHD achunguzwe aliipataje

    Jamani lzm viongozi waandaliwe au km vipi ujiandaa. Magufuli km kweli alikuwa anandoto za kuwa Rais basi alitakiwa ajiandae. Kujua kiingereza vzr kwa watu wa nchi hii ni lzm kwa sababu ni lugha yetu ya pili na ndio inatumika kwenye masomo ya juu. Wtt wa machief waliandaliwa kuwa machief...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mgombea urais na elimu yenye mashaka

    Sadamu wa libya sorry kuwait hii ndio phd ya kununua
  10. A

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi waliosambaza Video ya Dr. Slaa akiingia chumbani Serena Hotel wafukuzwa kazi

    Mimi nasema kwa wapenda mabadiliko hawa vijana watoe acc zao au no zao za simu tuwachangie. Wajitokeze kwny vya habari au ofc za chadema tuwachangie pesa. Nikitendo chakishujaa.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli anasubiri nini kuwaondoa Mkapa,Mwigulu, Lusinde ktk kampeni yake? Je, Hapa Matusi tu?!

    Unae sema ccm oyee nadhani unamaslahi kwenye mfumo huu wakifisadi. Wasiotaka hata katiba ya wananchi. Wanataka wakiwa Rais wakiiba mwisho wa uongozi wao wasiulizwe. Lkn km wewe ndio kati ya malofa n wapumbavu basi umelogwa
  12. A

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Unajisumbua Lowassa Rais. Slaa aseme analosema ccm out
  13. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa silaha ya maangamizi kwa Lowassa

    Tutakosa kura yake na mkewe. Tulimpenda Slaa kwasababu tulikuwa tunataka mageuzi. Ss km Lowassa atayaleta lzm tumsupport. Tunata mageuzi na si mtu. Ccm ing'oke tu
  14. A

    JamiiForums Tanzania Sitta Ataka Mdahalo na Lowassa Kuhusu RICHMOND; Asisitiza Kuwa Lowassa ni Fisadi!

    Kama anaushahidi serikali kwanini hawakumpekeka mahakamani. Serikali hiyo hiyo ikabariki Richmond kuwa Dowans to symbion. Km Richmond ilikuwa ya Rostam n Lowassa kwanini wakakubali hayo yote ya endelee. Sita hawezi kufanya mdahalo n lowasa presedent. Yy afanye mdahalo na mama Makinda
Back
Top Bottom