Recent content by Abdulkarim Ayoub

  1. A

    Serikali ya Kikwete imefanya jitihada kubwa ya kuimarisha usafiri wa anga nchini

    Mimi na shangaa mtu anapojilinganisha na DRC. Mbona hujilinganishi SA? Au hatustahili kuwa km wao? Hakuna kilichofanyika hapa Tz hizo nisifa za kijinga za mtoa mada
  2. A

    Vincent Nyerere: Mbunge wa 'hovyo' kuwahi kutokea Musoma mjini

    Kazi ya mbunge nikueleza matatizo ya jimbo lake serikali. Serikali ya ccm wanaiba tu. Hayo matatizo unayosema km serikali imeshindwa kutoa hela za maendeleo kwenye local government mh vicent Nyerere ulitegemea afanyenini?
  3. A

    Wabunge wa CCM wagoma jioni hii kwa kisingizio cha kuwatetea walimu, Ndugai aahirisha Bunge

    Wamepitisha mswada wa gesi n petroleum bila kuangalia maslahi mapana ya Taifa. Wakidhani kwakufanya hivyo wataifurahisha serikali ili wapate 238million. Usiposimamia serikali ikanufaika na rasilimali zake utapata hela ya mafao? Wabunge hawa wana GB ndogo
  4. A

    Makongoro amfungia safari Leticia Nyerere

    Makongoro huyu ndie anataka kua Rais. Busara kidogo . Leticia ana wtt na madaraka leo hii unamkashifu mama wa watoto wenu. Wajukuu wa baba wa Taifa aibu
  5. A

    big up kafulila

    Yuda angewauliza mnanipa jina gani watazamaji
  6. A

    CHADEMA kutoa maazimio mazito ya Kamati Kuu leo

    Mazito ya ccm nikushindwa kuongoza. Haiwezekani wananchi wanataabika serikali inashindwa kutoa suluhu ya jambo lililowazi na madai yaliyowazi. Hawataki madereva wawe na mkataba coz magari niyao na hawataki kulipa kodi stahiki
  7. A

    Freeman Mbowe awasili kituo kikuu cha Mabasi Ubungo na kulakiwa kwa shangwe kubwa

    Hao unaowaona ni nani mbona hawafanyi lolote na watanzania wanasumbuka. Mbowe nenda kaka unusuru hali hii
  8. A

    Mnyika is the brightest MP in Tanzania

    The wayfoward nikuondoa ccm madaraka ili dola ishikwe na watu wenye nia njema na nchi hii. Wabunge kaziyao kubwa nikueleza serikali matatizo ya maeneo yao. Serikali itoe pesa labda ya maji. Ss serikali ya ccm imeshindwa kufanya hivyo. Kila siku ni ufisadi tu. Hakuna hela ya maendeleo. Mh mnyika...
  9. A

    CHADEMA hebu mjibuni huyu kijana wa Moshi Mjini

    Huyu Mrindoko ni kilaza . Chadema hawana serikali. Kodi zote zinamilikiwa ba serikali ya ccm. Km chadema hawajafanya kitu ni kwasababu ccm central goverment wamekula hela zote waneshindwa kuleta pesa kwenye local gvnt zetu. Kazi ya madiwani na mbunge si kutoa hela zao mfukoni na kuzitumia...
  10. A

    Mnyika amshambulia Zitto mtandaoni, Vita yao sasa ni zaidi ya Siasa

    Mtu mnafiki anamaudhi na havumiliki. Zitto anafanya siasa za ccm. Akiwa chadema walimlaani lowassa ni fisadi. Leo anamkaribisha kwny chama chake anasema aonyeshe mali zake na amezipataje. Hii haingii akilini. Mm ni mshauri mh mnyika kumpuuza ztt.
  11. A

    Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

    Mzee mengi ameeleza umma vizuri akihoji kwnn ikulu hawajakanusha au kutoa tamko lolote kuhusu hbr hiyo? Na mara nyingi ikulu imekuwa hodari na makini kwa taarifa zinazihusu ikulu. Ss kusema mengi ameamini taarifa hiyo si sahihi kuishia hapo. Ni bora kueleza alichosema
  12. A

    Katibu wa BAWACHA Ilemela ahamia ACT Wazalendo

    Merina kwenda kwa zitto is not an issue vipesa vya ccm kwa zitto vinaisha huyu ni msaka tonge hela za kurushiana kwa m pesa na tigo pesa zinaisha very soon
Back
Top Bottom